Mama Wema Sepetu amvaa Whozu kuishi kwa Wema

Mama Wema Sepetu amvaa Whozu kuishi kwa Wema

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo .

Kama mama hakumzoesha Wema kuvaa Kanga tangu utotoni alivyokuwa anakua huku ukubwani ndio anataka ajifunze kuvaa Kanga?! [emoji848][emoji848]

Maza anatafuta jamii ipate kumuelewa yamkini lakini amechelewa.

Imeandikwa; “ mfundishe Mtoto njia iliyo njema naye haitaiacha hata ajapokuwa mkubwa”

Hakufundishwa kuvaa Kanga tangu utotoni leo ndio utake avae [emoji3][emoji28]
 
Bimkubwa analalamika Whozu anamuharibia mwanae?

Hivi anaye mwaribu mwezie ni Wema au Whozu.....!!!!, maana huyo Wema watu wameichakaza sana K,yaani kama K ingekuwa ikichakazwa sana inapiga kelele,basi NEMC wangekuwa wanamtoza faini kila saa.
 
Back
Top Bottom