Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
- Thread starter
- #41
Alichokisema mama Wema ni sawasawa na mama yangu, at first sikumwelewa mama ila kumbe ndivyo wanavyoona!
Sasa naamini alikuwa sahihi.
Wazazi wakiona unaishi na mwanaume hajakuoa wanamdharau kwanza yule mwanaume wanamuona hana heshima na adabu