hivi kumbe mlikuwa mnaishi wote bila kujitambulisha? , afu kuna mtu humu alisema eti mmemwagana embu tupe ubuyu kidogo basi 😜Alichokisema mama Wema ni sawasawa na mama yangu, at first sikumwelewa mama ila kumbe ndivyo wanavyoona!
Sasa naamini alikuwa sahihi.
director huyo ndo kamuharibu,maimartha alimuuzia tuu dawa za shepu yeye chimama na snuraMikorogo hiyo, alaumiwe sana Maimartha kwa kuharibu ngozi ya yule mdada
PxiemMama kaongea kwa uchungu sana Kuna maumivu nyuma ya sauti yake
N!o jIla hao vijana wanajituma sana
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani humu JF napo mnapenda umbeaKachukia kitendo cha whozu kuishi kwa wema ,wanaishi tu hawafungi ndoa
ila mama wema nae anapenda kumsema mwanae mbele za watu lazima achomoe betri,anamuambia ukweli ila anapenda drama na attention [emoji23][emoji23]
Huku Rubi kusalimiana na aunt,aunt kacheka kinafiki
Leo insta kwa moto Nasubiria dada wa taifa aamke
Kumekuchaaa nimeona kimyaa humu hebu wadau mkuje wa umbea
View attachment 2766154
Hupitwi kumbe🌊Hapo ilibidi mama yake whozu ndio akasirike.
Kumbe wema ni 88 kumbe nilijua 80/81 huko kumbe bado mbichi kabisa, acheni kelele basi, mama anasema anakumbuka alimzaa mtoto 1988.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mim spendi kwa aslimia 100000000000000000000%Kachukia kitendo cha whozu kuishi kwa wema ,wanaishi tu hawafungi ndoa
ila mama wema nae anapenda kumsema mwanae mbele za watu lazima achomoe betri,anamuambia ukweli ila anapenda drama na attention [emoji23][emoji23]
Huku Rubi kusalimiana na aunt,aunt kacheka kinafiki
Leo insta kwa moto Nasubiria dada wa taifa aamke
Kumekuchaaa nimeona kimyaa humu hebu wadau mkuje wa umbea
View attachment 2766154
Tena nyumbani kwa mwanamkeWewe uzae mtoto wa kike alafu usitamani aolewe yaan awe anabanduliwa tu na mwisho wa siku kuachwa utafurahi tena anabanduliwa nyumbani kwake utafurahia?