Mama yake Feisal Salum 'Fei Toto' Kamaliza Utata na Kutema Nyongo dhidi ya Yanga SC

Umenena vyema ,mkuu
 
Mama yake ameshaamua endeleeni sasa Kudanganyana, kulishana Ujinga na Kupoteza muda.
Wateendelea tu kulishana ujinga subiri utaona.Ndiyo maana nilishasema sibishani tena na shabiki ambaye timu yake haishiriki Super League.
 
We bana unakuwa kama Jemedari Said Kazumari.
 
Shida watu wanaparamia tu af hakuna sehemu ya mkataba imesema fei asile ugali na sukari unajua duniani kila mtu anakitu chake chakijinga anapenda ko huwenda anapenda Ivo yeye ila sasa wehu ya simba ndo wamesimamia apo
Mshahara wa 4m anakula ugali sukari.
 
Labda tumtumie makonda,, 😁😁
Ana bahati yuko simba,, makonda akupigie simu kacheze mpira halafu ulete ubishi, angenyoroka,,
Anyway, yanga wamwache kijana aendelee na mambo mengine, 🤷🏼‍♀️
 
Mama yake ameshaamua endeleeni sasa Kudanganyana, kulishana Ujinga na Kupoteza muda.
Nilikua sielewi kwanini wadau hua wanakutukana ,, ila kwa sasa nmeelewa.

Anyways sasa kama Mama ake kaamua kwani ndio maamuzi ya Kamati , au kuamua kwake ndio sheria , hapo haiitaji huruma bali inatakiwa sheria itendeke.
 
Mchezaji hawawezi kujiondokea kama kwenye mkataba hakuna kipengele kinachomruhusu kuvunja mkataba kwa kutoa kiasi fulani cha pesa.

Yaani mlimdharau Feisal hadi mkadhani hawezi pata milioni 100 za kuvunja mkataba.
Hata angekuanazo hela nyingi zaidi ya hizo hawezi kuvunja mkataba kama aliovunja yeye,, hakuna timu duniani inaruhusu mchezaji kuvunjwa mkataba pekeake bila bila kuzingatia vipengere vya mkataba
 
Hata angekuanazo hela nyingi zaidi ya hizo hawezi kuvunja mkataba kama aliovunja yeye,, hakuna timu duniani inaruhusu mchezaji kuvunjwa mkataba pekeake bila bila kuzingatia vipengere vya mkataba
Sawaaa ila kumbuka hiyo milioni 100 ilikuwa pia ni kipengele cha mkataba.

Tusubiri tuone hatma yake.
 
Mnaacha kufuatillia timu isipigwe tena Chuma tatu mna kazi ya kufuatillia mambo ya Yanga 😂😂
 
Leo wanasimba mnafurahia. Lakini kumbukeni huyu dogo anatengeneza precedent mbaya sana kama atashinda. Kesho wachezaji watakuwa wanajiondokea kiholela tu kwenye timu
Vipi mkataba wa SportPesa!? Mlikuwa sawa kupachika mdhamini mwingine!?
 
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki .
Duh kumbe ndiyo hivyo. Hapo kwenye siri ni kuwa kuna kigogo mmoja alitaka kumfanyia usodoma dogo ndiyo hasa kiini cha yote haya. Dogo alikasirika na kujiapiza kuwa ni Bora akavue samaki au awe mkwezi kuliko kucheza mpira Yanga kwa kitendo hicho cha kuombwa penzi kwani dogo siyo mshiriki wa huo upuuzi. Ameamua kutumia tafsida tu kutoa sababu ya mshahara mdogo,lakini ugomvi wa Feisal na Yanga ni huyo tajiri kumtongoza dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…