Odense
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 1,189
- 1,585
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Virutubisho kama vyote
Wakala na mama ake nani ana nafasi kwenye maisha ya feisal??Mama yake ni nani kwenye mkataba? Wakala, manager au Mwanasheria?
Kachoka na mwanae kula ugali na sugar!!Mama hakutakiwa kujiingiza kwenye hili suala, hakupata washauri wazuri.
Hio ilikua kesi ya familia!?Wakala na mama ake nani ana nafasi kwenye maisha ya feisal??
Kwenye maisha ya soka ya fei hayahusiani na familia yake,ko mayele akila ugali na sukari mama ake afurahi tuHio ilikua kesi ya familia!?
Mayele ni mtu mzima, na pia ni baba wa familia. Hivyo ana uelewa mkubwa kuhusu maisha. Hata itokee akapitia changamoto kubwa kiasi gani! Kwake zitampa nguvu ya kupambana zaidi, ili kufikia kilele cha mafanikio yake.Kwenye maisha ya soka ya fei hayahusiani na familia yake,ko mayele akila ugali na sukari mama ake afurahi tu