Mayele ni mtu mzima, na pia ni baba wa familia. Hivyo ana uelewa mkubwa kuhusu maisha. Hata itokee akapitia changamoto kubwa kiasi gani! Kwake zitampa nguvu ya kupambana zaidi, ili kufikia kilele cha mafanikio yake.
Huwezi kumtolea mfano unaofanana na huyo mtoto wa mama Fei Toto.