Mama yake Jihan (mrembo wa taifa) anajua athari kubadili dini kwa mwanawe?

Swali. Mama yake anajua akifa Jihan au yeye hakuna wa kumrithi mwenziwe?
Mbona kuna waliobadili na wakarithi?

Akirithi utaenda kumzuia?

Wewe una mamlaka ya kisheria zaidi ya mahakama ya nchi??
 
Mbona kuna waliobadili na wakarithi?

Akirithi utaenda kumzuia?

Wewe una mamlaka ya kisheria zaidi ya mahakama ya nchi??
Uislam unakataza jambo hilo, labda wavunj
Sheria zenu zinaishia msikitini huku nje za mahakama na katiba ndio zinafanya kazi
Familia inayorithi kwa njia za mahakama badala ya kiislam halafu ni waislam itakuwa wameingia ktk.dhambi.kubwa
 
Uislam unakataza jambo hilo, labda wavunje sheria
Hujui kuwa Sheria ya nchi inaruhusu?

Au unataka kupita naye kama wafanyavyo makobaz wa Uarabuni??

 
Kweli uislamu ni tatizo duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…