Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatakae wai kupanda sawaWakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Hii pia imekaa poaSiti ya mbele litakaa box la pombe mama na mkwe wake watakaa huko nyuma, wakipiga stories zao na umbea wa hapa na pale.
Mke ndio mama. Mama kazi yake kama mama imeisha, anageuka na kuwa mtoto. For me wife ndio mama yangu.. ingawa vichacha mama anarudi kuwa mamaWakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.