Naam.Na kishoka Juu ๐
Ni kutokuelewa tu Simba.Nathani ni ujinga tuu kung'ang'ania siti ya mbele Kuna sku nliona board guard wa Rais anakaa mbele na Rais anakaa nyuma ,alaf ukiwa na mzazi mshamba ivyo ni hatar pia Kwa nn apiganie kukaa mbele wakat Msaidiz wako yupo??
Wakae kibarazaniHata gari yenyewe sina na ndoa nilishaikataa kwa hiyo hapa sina cha kuchangia
Wote wakae mbeleWakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Mpaka leo hauijui hadhi ya seat ya mbele mkuu?Kwani seat ya mbele ina heshima Gani
Yaani watu wagombanie kukaa seat ya mbele
Yupi anayestahili ulinzi zaidi ya mwingine, mke au mama?Binafsi mama yangu atakaa siti ya nyuma kwa sababu za kiusalama.
Mama yako kapiga kimini na mkeo kimini pia,,mume ni wewe, kwa mazingira haya wewe busara yako itakutuma vipi?Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
[emoji122][emoji122][emoji122] gentlemanKwakua umesha muita mke, basi jitahidi umpe heshma yake kwasababu hata mama yako alikua paswa kuipata heshma hiyo kwa baba yako.
Ukiamua kuoa, ebu usilazimishe kufananisha nafasi na mke wako na mama yako...[emoji2955]
Mama anastahili upendo kutoka kwa mtoto wake, lakini mama yako hapaswi kuiziba nafasi ya mke wako (kama umeamua kuoa).
Ngoja tuone kwanza itakavyokua,.Kwa hawa mama wa Kizazi kipya ๐๐๐
Huyo hana shida ๐ ๐ ๐ kuna wenye jicho huku hadi unampisha mwenyewe ๐ halafu ukute alikuwa Single mama halafu alimlea kwa shida na mwanae kafanikiwa. Usiombe kukutana nae. ๐๐Ngoja tuone kwanza itakavyokua,.
Sema hata mamkwe wangu hajai zingua mbona๐๐