Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kaa mbele na mke wako,mama mkwe alae na mumewe nyumba huko!Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.