Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

Nathani ni ujinga tuu kung'ang'ania siti ya mbele Kuna sku nliona board guard wa Rais anakaa mbele na Rais anakaa nyuma ,alaf ukiwa na mzazi mshamba ivyo ni hatar pia Kwa nn apiganie kukaa mbele wakat Msaidiz wako yupo??
Ni kutokuelewa tu Simba.
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Wote wakae mbele

Mmoja aendeshe

Ntakaa nyuma
 
Kwani seat ya mbele ina heshima Gani
Yaani watu wagombanie kukaa seat ya mbele
Mpaka leo hauijui hadhi ya seat ya mbele mkuu?

Seat ya mbele huchukuliwa ki hadhi kama 1st class.

Ukiona kwa mfano Rais kapachikwa seat ya kati kati, hiyo ni kwa ajili ya itifaki za kiusalama tu, lakini 'mweshimiwa' anastahili pale mbele.

Hata wewe ukitaka kutoka na familia yako, kati ya mke na watoto, nani utamuweka seat ya mbele?
 
Mimi gari yenyewe nimeuza naona gharama tu wakati naweza kuendesha baiskeli kilometa 4 kwenda na kurudi kazini kila siku. Kwahiyo sijui kama wanataka kukalia siti ya baiskeli
 
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.

Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.

Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.

Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Mama yako kapiga kimini na mkeo kimini pia,,mume ni wewe, kwa mazingira haya wewe busara yako itakutuma vipi?
 
Kwakua umesha muita mke, basi jitahidi umpe heshma yake kwasababu hata mama yako alikua paswa kuipata heshma hiyo kwa baba yako.
Ukiamua kuoa, ebu usilazimishe kufananisha nafasi na mke wako na mama yako...[emoji2955]
Mama anastahili upendo kutoka kwa mtoto wake, lakini mama yako hapaswi kuiziba nafasi ya mke wako (kama umeamua kuoa).
[emoji122][emoji122][emoji122] gentleman
 
Mbona. Hatuzioni hizi battle kwa real life jamani,.
Eti siku nione bibi na uzee wake wanang’ang’aniana siti na mama hakii itakua vichekesho😆😃🤣
Kwa hawa mama wa Kizazi kipya 😀😀😀
 
Mama asiyekuwa na makuu anakaa nyuma kama Bosslady na mlango anafunguliwa.Tatizo uswahili unatusumbua.
 
Ngoja tuone kwanza itakavyokua,.
Sema hata mamkwe wangu hajai zingua mbona😂😂
Huyo hana shida 😅😅😅 kuna wenye jicho huku hadi unampisha mwenyewe 😅 halafu ukute alikuwa Single mama halafu alimlea kwa shida na mwanae kafanikiwa. Usiombe kukutana nae. 😛😛
 
Back
Top Bottom