Mama yangu anamchukia mke wangu

Mama yangu anamchukia mke wangu

Nlihamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu. Tumehamua kuhama tumepanga Bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu.Lawama zilizidi kati ya ndugu Kuja kwa mke wangu, mwisho mke wangu akawa Hana amani. Tukahamua tuhame Sasa mama muda wote anamjazia sms za matusi mke wangu. Najuta kuishi nyumbani na mke wangu
Mpaka mtakapohamua kuhamua kuishi maisha yenu bila kuingiliwa na wazazi wenu uhamuzi wenu wa kuishi pamoja kama mke na mume hautakuwa na furaha.

Fanyeni mahamuzi magumu sasa hivi kungali na muda vinginevyo uhamuzi wenu hautakuwa na maana yo yote [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Lawama zilizidi kati ya ndugu Kuja kwa wangu, mwisho mke wangu akawa Hana amani. Tukahamua tuhame Sasa mama muda wote anamjazia sms za matusi mke wangu. Najuta kuishi nyumbani na mke wangu
Haujajibu swali. Elewa ulichoulizwa.
 
Wewe ndio utaamua ndoa iendelee au ife. Mke wako atatulia kufuata kauli, matendo na msimamo thabiti kuhusu yeye na ndoa Yako. Joanah ameuliza chanzo Cha ugomvi ni Nini?

Kama mkeo Hana ukorofi au chembechembe za uchochezi, hakikisha kuanzia Mama na ndugu wengine wote wanajua dhahiri pasipo shaka kwamba unmpenda na kumjali mkeo, unamheshimu na hautopenda yeyote amdharau.

Binafsi nilishaweka wazi hata kama haumpendi au kufurahishwa na Mke wangu, jilazimishe kumheshimu Kwa vile ni Mke wangu. Na kama Kuna chochote mnahitaji, kipitie kwake yeye ndio atafikisha kwangu.

Cha mwisho, kama inawezekana saidia ndugu wakiwa hukohuko, usiishi nao hapo kwako mtaepuka migogoro isiyona ulazima. Pia hakikisha unamtunza Mama.
 
Kwenye maisha ukikuta mama anampenda mkamwana ujue Kuna kitu ananufaika nacho either kumtuma tuma kazi au anampa tuvizawadi n.k

lakini mkeo hajasoma, Hana kipato, Hana mtoto, yaani Kila kitu Hana!

kwahiyo kupendwa asahau Labda amzalie kajukuu Sasa Kama wewe Huna uwezo itamlazimu achepuke ili azalie mtoto la sivyo ndoa itakua chungu.
 
Wewe ndio utaamua ndoa iendelee au ife. Mke wako atatulia kufuata kauli, matendo na msimamo thabiti kuhusu yeye na ndoa Yako. Joanah ameuliza chanzo Cha ugomvi ni Nini?

Kama mkeo Hana ukorofi au chembechembe za uchochezi, hakikisha kuanzia Mama na ndugu wengine wote wanajua dhahiri pasipo shaka kwamba unmpenda na kumjali mkeo, unamheshimu na hautopenda yeyote amdharau.

Binafsi nilishaweka wazi hata kama haumpendi au kufurahishwa na Mke wangu, jilazimishe kumheshimu Kwa vile ni Mke wangu. Na kama Kuna chochote mnahitaji, kipitie kwake yeye ndio atafikisha kwangu.

Cha mwisho, kama inawezekana saidia ndugu wakiwa hukohuko, usiishi nao hapo kwako mtaepuka migogoro isiyona ulazima. Pia hakikisha unamtunza Mama.
Mke hazai, wanamsimanga kuwa anajaza choo tu. Mleta mada na mkewe wapambane watafute mtoto bhana, aache kutuzuga hapa. Watu miaka miwili hata kichefu chefu hamna wanafanyaga Nini jua likizama? Hakuna mama mkwe huwa anakubali kuishi na mkamwana asiezaa hata Kama mwanaume ndo mwenyetatizo wao humuangalia mke tu.
 
Kweli binadamu hawafanani, mama mzazi anaanza vipi kumtukana mke wako? Au siyo mama yako mzazi?
 
Sorry natoka nje ya mada kidogo. Hivi umesoma mpaka la ngapi mkuu? Samahani lakini huu uandishi wako unanifanya nihisi pengine mwenzetu ulirushwa darasa, somo la muandiko hukua unalipa uzito sana...
Mbna ameeleweka fresh tu unataka aandike vip kosoa sehemu ulizo ona Kuna makosa

Tatizo kuwa mwalimu wa kiswahili unatka kila tu ajue kuandika
 
Niliamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu.

Tumeamua kuhama tumepanga bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu. Lawama zilizidi kati ya ndugu kuja kwa mke wangu, mwisho mke wangu akawa hana amani. Tukaamua tuhame sasa mama muda wote anamjazia sms za matusi mke wangu.

Najuta kuishi nyumbani na mke wangu
Haupo serious mkuu ila somtime wazee wanaona mbal sna
 
Haupo serious mkuu ila somtime wazee wanaona mbal sna
waone mbali kwa kutukana mke wa jamaa au?? mama kakosa adabuuu jamaa anamuendekeza mama ake ifike mahali tujue hata wazazi wanakosea nao ni binadamu... japo jamaa alizingua sana kuanza kuishi na mke wake kwao maana alimpa mama yake nafasi ya kumjua mkewe kiundani na ukiona ubayaa au uhasama ni mkubw ajua kuna upendo ulitangulia pia
 
Sorry natoka nje ya mada kidogo. Hivi umesoma mpaka la ngapi mkuu? Samahani lakini huu uandishi wako unanifanya nihisi pengine mwenzetu ulirushwa darasa, somo la muandiko hukua unalipa uzito sana...
Lkn si umeelewa? Mambo kupenda kushushuna na miandiko sio mazuri
 
Mbna ameeleweka fresh tu unataka aandike vip kosoa sehemu ulizo ona Kuna makosa

Tatizo kuwa mwalimu wa kiswahili unatka kila tu ajue kuandika
Umeipitia hii thread baada ya Mods kuiedit. Ungeisoma wkt ameipost usingenilalamikia hapa kama wifi mwenye gubu
 
Back
Top Bottom