kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
MkuuSorry natoka nje ya mada kidogo. Hivi umesoma mpaka la ngapi mkuu? Samahani lakini huu uandishi wako unanifanya nihisi pengine mwenzetu ulirushwa darasa, somo la muandiko hukua unalipa uzito sana...
Kwani ujaelewa ujumbe wa huyu ndugu au.
Kama unamshauri Ndugu yetu toa ushauri
Habari za kusoma hayana maana yoyote hapa mkuu.
Ila
Omba yasikukute.