kibori nangai JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 1,430 Reaction score 2,130 Jun 8, 2022 #41 Mr Kactus said: Sorry natoka nje ya mada kidogo. Hivi umesoma mpaka la ngapi mkuu? Samahani lakini huu uandishi wako unanifanya nihisi pengine mwenzetu ulirushwa darasa, somo la muandiko hukua unalipa uzito sana... Click to expand... Mkuu Kwani ujaelewa ujumbe wa huyu ndugu au. Kama unamshauri Ndugu yetu toa ushauri Habari za kusoma hayana maana yoyote hapa mkuu. Ila Omba yasikukute.
Mr Kactus said: Sorry natoka nje ya mada kidogo. Hivi umesoma mpaka la ngapi mkuu? Samahani lakini huu uandishi wako unanifanya nihisi pengine mwenzetu ulirushwa darasa, somo la muandiko hukua unalipa uzito sana... Click to expand... Mkuu Kwani ujaelewa ujumbe wa huyu ndugu au. Kama unamshauri Ndugu yetu toa ushauri Habari za kusoma hayana maana yoyote hapa mkuu. Ila Omba yasikukute.