Mama yangu kwanza

We sema tu kuwa humjui baba yako, km baba yako angekuwepo na mnaishi wote usingesema hivyo unless una chuki binafsi na baba yako. Kiualisia nyie ndiyo mmekuzwa na ma-single mother na kukosa malezi ya baba.
 
Unaropoka sana kijana
Baba yangu namjua ndio aliye nipa mahitaji na mpaka sasa anamchango mkubwa sina chuki nae
Ila mama kaplay part kubwa kuhakikisha nakuwa hivi nilivyo nafasi yake ipo kipekee
 
Kiufupi tu:
Vijana wa kiume nawapa tu ushauri wa Bure kuwa km unataka mke wa kweli wa kuoa (wife material) sifa mojawapo iwe ni kulelewa na wazazi wote 2 au awe amelelewa na baba yake pekee. Iwapo huyo mke kalelewa na mama pekee basi iwe ni kwa sababu ya kufiwa na mume na siyo vinginevyo. Zingatieni hiki kigezo, mtakuja kunikumbuka. Mtoto alielelewa na single mother, 99% wanachangamoto za kisaikolojia na hao ndiyo wanaokuja humu na kuonesha makasiriko kwa wanaume.

Narudia tena na tena, zingatieni kigezo hiki, mtanishukuru siku moja.
 
Cc; Achraf Hakimi.
 
Unaropoka sana kijana
Baba yangu namjua ndio aliye nipa mahitaji na mpaka sasa anamchango mkubwa sina chuki nae
Ila mama kaplay part kubwa kuhakikisha nakuwa hivi nilivyo nafasi yake ipo kipekee
Wewe hujiwezi kichwani, uliwezaj kupima uwajibaki wa baba na mama Yako angali ukiwa mdogo. Tena una kili mwenyewe kuwa baba yako ka-play part kubwa hadi hapo ulipo, then hapo hapo unasema hafai mama yako ndiyo Kila kitu. Pole sn. Sema hata unayoandika humu baba yako hayaoni laiti km.
 
Hujui kusoma pili una IQ ndogo siwezi bishana na mtu aliyefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ