Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Ndo ubaya wa tamaa, unawaza hatua hiyohiyo ulipo tu.

Mpaka dakika hii hujatuambia kama mtoro ulimchakata kama ulivotaka au mliishi kikaka na dada siku zote hizo.

Na hadi siku 3 upo nae tu, aisee jamaa unayapenda matatizo kuliko yanavyokupenda wewe.
Soma vizur mbona jamaa ameshapiga kitambo
 
Back
Top Bottom