Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Weee sis akee ana English figure moja matraaatraaaaa sanaaaa!! Lazima ukaeee weeeh!! Jizime data tu mfyuu!
Nishapataa mbona, japo nilikipa namba ili kinipigie. But still kimya😢
👉Nitakirudisha tu, so simuhitaji Lovelovie.
👉Maana ana bwana ake waliye kimbizana nae ile usiku(muulize anamjua😭😂) Antonnia
 
Ndugu zangu na wadogo zangu mnaosoma. Hakuna kitu kibaya kama kula Ada.

Mimi nilijiambia nitafanya chochote lakini Ada sitokaa nithubutu kula.

Na kweli nilifanikiwa mpaka nimemaliza chuo sikuwahi kula Ada ya mazazi wala ndugu. Sema nilikuwa nawapiga mzinga kwajili ya kufanyia uhuni[emoji23][emoji23]
 
Hivi inayoendelea hapa ishatoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…