Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Naomba Namba ya Naa kama unayo Mimi nimepoteza ni jamaa wa mbezi
 
Natamani kujua mwisho wa Naa jamani
Maneno ya mama yamenichoma 😭
 
Ebwana eeh,shukrani sana mkuu kwa simulizi kali hii,safi sana.
 
Uandishi mzuri sana, umebeba maneno aliyokwambia Mama, na mwisho wa hayo maneno, complete set, sasa nataka kusikia siku moja unamtunza Mama yetu shujaa
 
Subutuuuu me nmekula ada ya mwaka mzima A level nimeenda chuo nikala ada ya semester moja na hostel usiulize niliitumiaje [emoji16][emoji16]
Ila nyie ada ni tamu sana
Afadhali wewe ke unaweza kuhongwa ada me je itakuwaje[emoji3]
 
Ah ndio mwisho
Nikajua umekuwa baba wa kambo[emoji23][emoji23]
 
Inaishaje na hujamla Naa?

Kwa ninavyokujua tafadhali endeleza Uzi mwehu wewe[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…