Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Shunie Dejane
 
Sijasoma.. Ninachojua ni kwamba wamama wa Kiafrica wana maneno mabaya sana wakati hawamaanishi wanayoyasema. Me bi mkubwa mara kwa mara alikuwa anasema alizaa ili kutoa uchafu. Hadi 5 years ago wakati nakaribia 30.. Nikamuondolea uvivu siku moja.. Nikagundua maneno huwa wanayasema lkn hawamaanishi toka ndani.

Pole mdau.
 
Sure 100% 🤜🤜🤜
 
Mshkaji katoka Kongwa na Noah, kapandia gari (ABC ile ya saa 18:00) pale kinaigwa, Demu anasoma Huruma girls au St Clara Mlali. [emoji4]

Leta muendelezo mtoto wa kigogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kubabake mkuu umecheza mule mule ila Mimi naongeza. Jamaa alitoka Mpwapwa na Noah akashukia mbande ndipo akapanda gari ya ABC inayotoka dodoma saa 12.[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Imeishia patamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…