Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Katika kitu ambacho najisifu mpka leo ni kupita salama kipindi cha utotoni na kipindi cha mihemuko cha form 2,3,4,5&6 bila kudinywa...hapa watu watakataaa hahaha πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dah masela bana yaani mchizi anakusifia kabisa as if umefanya jambo la maaana sana
 
Katika kitu ambacho najisifu mpka leo ni kupita salama kipindi cha utotoni na kipindi cha mihemuko cha form 2,3,4,5&6 bila kudinywa...hapa watu watakataaa hahaha πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Me nakubal 100% classmate wangu
 
Back
Top Bottom