KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Nimependa zaidi hapa.Tuwapende watu wanaotutumikia.
Ni kweli umaskini hasa ndio swala. Kwenye hali ya uchumi bembelezi inabidi chakula kiliwe kwa mpango rasmi nyakati za kifungua kinywa, lunch na supper tu. Kuruhusu vyakula vichukuliwe kiholela nyakati zozote itavuruga bajeti.Wengne wanafungiaga Hadi TV kwenye kabati. Wafanyakazi wasiangalie, chanzo cha yote haya ni umasikini + roho mbaya
Kwanini hatuna upendo wa dhati?Kule kwenye dini wamejificha tu,na ni asilimia kubwa sana ya wanaojifanya wako deep sana na dini ilaukichunguza mambo yao ni ya ajabu na ndiyo yanayosababisha hata watu kupuuza kufuatilia kwenda Makanisani/Misikitini
Hapo nyumbani wanaona Bora vyakula vimwagwe kuliko viliwe na wafanyakaziNi kweli umaskini hasa ndio swala. Kwenye hali ya uchumi bembelezi inabidi chakula kiliwe kwa mpango rasmi nyakati za kifungua kinywa, lunch na supper tu. Kuruhusu vyakula vichukuliwe kiholela nyakati zozote itavuruga bajeti.
Ila kwa vitu kama maji ya kunywa ndio changamoto!
Halafu wataponda sana tabia ya uchoyo. Siku zote nyani haoni kunduleHuenda hat Mama yako na Kaka yako nao wamo humu JF nao pia watachangia thd.