Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Halafu wata comment in positive way wakiwalaumu watu kwa kuwa wachoyo [emoji23][emoji23]Huenda hata Mama yako na Kaka yako nao wamo humu JF nao pia watachangia thd.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wata comment in positive way wakiwalaumu watu kwa kuwa wachoyo [emoji23][emoji23]Huenda hata Mama yako na Kaka yako nao wamo humu JF nao pia watachangia thd.
Wengi wanajifanya kuokoka lakini lengo lao ni kuolewa na hakuna kingine. Sasa akishaolewa ndio tabia yake yote unaiona. Kuna wengine anasema kaokoka lakini hata kabla ya ndoa unaona ana tabia za kukwaza kwaza.Katika vitu nilivyojisemea enzi za ubachela ni kutokuoa mwanamama aloshika “dini”
Wengi wa walioshika dini mara nyingi tabia zao wameziweka pembeni kwa ajili ya matumizi ya baadae
Kwangu mwanamke bora ni yule niliyemkuta kama ni mchoyo au mnywaji ama vyovyoye ilimradi najua rangi yake ni either nichague kuishi nae au laa ila siyo mshika dini unakua obsessed na maombi/ kunena kwakw lakini siku unaweka ndani unakuta kile ulichokidhania sicho. Ni heri aupate wokovu/aanze kuswali swala 5 akiwa ndani kwangu ila siyo nikamuokote ananena kwa lugha au ana swala 5
Katika maisha yangu kuna vitu nilivyogundua, wapo watu wanashika dini saana lakini vipo vitu/dhambi za asili zinazowadrive ni ngumu kuviacha hata uwe padree au mchungaji, mfano kiburi, hasira, uchoyo,tamaa,ufuska n.k kama hipohipo tu hata kama ukiwa deep kwenye dini kiasi gani bado huwezi kuviacha, ndio maana makanisani kwetu mpaka wachungaji wanagombana n.k
Kuna kitu kingine ni muhimu kujua, hasa dini.Wengi wanajifanya kuokoka lakini lengo lao ni kuolewa na hakuna kingine. Sasa akishaolewa ndio tabia yake yote unaiona. Kuna wengine anasema kaokoka lakini hata kabla ya ndoa unaona ana tabia za kukwaza kwaza.
Unapomtumikisha mtu anastahili pia kupata haki yake au ujira wake inakuaje unamtumikisha mtu hata kumpa chakula inakuwa zengweDini zote kubwa zinahalalisha mambo ya watumwa hivyo usiwe na shaka hao wafanyakazi wanatumikishwa hapo ni watumwa wao wanatimiza dini yao tu
Kama wakristo biblia inasema kabsa "Enyi watumwa watiini mabwana zenu kama Kristo" (sijajua kama nimeiquote vyema ila maana na mantiki ndio hiyo)
Kwahiyo sishangai kabisa
Nyakati hizi kuna baadhi ya wadada ili afanikiwe kuolewa yupo tayari afanye maamuzi magumu hata ya kushangaza ili tu na yeye aitwe Mrs. fulani. Hapo pia ndio utaona wanawake huwa hawafikirii mbali. Huyo Dada ni wazi hakumpenda bosi wako.Kuna kitu kingine ni muhimu kujua, hasa dini.
Kuna mmoja alibadili dhehebu ili afanane na boss wangu,huyo boss wangu akapeleka hadi posa kwao bahati iliyoje yule mwanadada akaongea na mtu kuwa baada ya ndoa atarudi nakosali. Concept kwake ilikua ni avalishwe tu pete mengine yatavo-sort matokeo yake boss kamsusia na mahari kila siku binti kilia.
Hii pia nimeona mtu kambadili binti dini ili wafanane mapenzi yalipokua ya kawaida binti karudi kwenye dini yake.
Nadhani hapo lazima kujua hayo.
Kwahiyo wasifanye kazi wawe wanaangalia tv, wewe utakuwa umepanga chumba kimoja unafikiria wote wanaishi kwenye chumba kimoja
Wapi nimesema nimepanga chumba kimoja?!punguza ujuajiKwahiyo wasifanye kazi wawe wanaangalia tv, wewe utakuwa umepanga chumba kimoja unafikiria wote wanaishi kwenye chumba kimoja.
Halafu wafanyakazi kwenye nyumba hizo wanakaa hata miaka, huku wanakoachiwa hawakai kabisa sijui kwa nini huwa inakuwa hivyoMama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
Nimefanikiwa kuondoa code. Nilimuelewa sana Mwalimu wangu wa Kiswahili Kiingereza kwenye somo la fasihi/literature.Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
ida ya wa2 wa DINI ndivo walivo,ni wabinafsi sana!! kama vipi,kapange kwako afu jaza friji mazagazaga kibao,then kachukue wale wafanyakazi uishi nao,au vipi?Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
Kuna mmoja hapa mtaani Ni mshika dini haswa lakini mara kwa mara anapelekwa polisi kwasababu ya dhulmaHamnaga watu wanafiki kama hawa washika dini!
Daah nami umenikumbusha room mate wangu mmoja,yaan siku ya kufunga chuo ndio nikagundua dumu la asali la Lita tano ambayo imeisha,swali linakuja alikuwa anakula hiyo asali saa ngapi? Ila nilimwambia we mate noma Sana Yan kumbe Una asali humu ndani sijui akabaki kucheka Tu,daah tunatofautiana sanaHahahaha hii imenikumbusha mbali sana wakati nasoma UDSM pale miaka hiyo 2000! kuna jamaa nilikuwa na share nae chumba pale hall 5 na alikuwa na TV, sasa jamaa alikuwa mchoyo sana, akaweka kikaratasi kwenye meza tuliyowekea TV amekiandika "usiwashe TV bila remote" halafu ajabu ni kuwa hiyo remote ameifungia kwenye kabati lake!
Hakuna watu wako hovyo kwenye suala la kula kama wa hiyo dini. Si ajabu kumkuta kiongozi mkubwa kabisa akigomea sinia ya pilau mbele za watu tena bila aibu...ni wakrsto tu hao watakuwa bila shaka
WAISLAM huwezi kukuta muislam mchamungu akawa mnyimi wa kula
katika kilichobora katika UISLAM ni kutoa katika miongoni mwa unavyovipenda
na moja ya mambo alotuhusia mtume ni kumpenda sana JIRANI yako
na katika thawabu bora ni kuwasaidia wasiojiweza CHAKURA
Yaan katika uislam kupika chakura lingi kisha ukashindwa kukimaliza ni dhambi kubwa
katika uislam ni SUNNAH kuokota chakura ulichodondosha bahati mbaya na kukila
sasa katika hayo machache ni Ngumu mchamungu wa uislam kufungia friji chakula kisa wafanyakaz wasule
Nimechekaaa🤣😅😅Haya mleta mada Mamaako huyu hapo amefika unasikia anachosema lakini[emoji23]