Mama yangu ni mtu ambae amekua akinikwamisha kwenye maendeleo yangu

Chubby255

Member
Joined
Jul 27, 2026
Posts
20
Reaction score
39
Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..

Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way

Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮‍💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara mi nahonga wanaume mara mim akili ya biashara sina mpk nikanyimwa pesa ya biashara akatulia 😒 mzee kachukua pesa kaend kumpa mwanamke wake wa nje amfungulie biashara ndo anakuja kwangu et tuungane 🥹 sas tunaungana kwenye nini?

Kuna muda naelewa kwanini baadhi ya vijana wakifanikiwa hawawakumbuki wazazi wao mbona familia nyingine wanasimama na watoto wao 😔 mama angu anasimama na ndugu zake siku nilipomuuliza akanambia mim wale ndo ndugu zangu nashare nao jina la ukoo wewe kwenu ni baba ako yan mtu anaesimama na mimi ni Boyfriend wangu kwel jamaaan 😢

Halaf at the end of the day ananiambia mwanaume huyo hakufai hana hela mtoto mpumbavu wewe huna akili ni kweli hana hela ila ndo ambae anakua upande wangu sas hapo kosa liko wapi 😔 kuna muda ananiambia mara ye mwenyewe haelewi mara sijui anahisi ka karogwa sio akili zake 📖😒

Jamani wazazi kuna muda hamfanyi sawa.
 
Jiongeze bidada huyo hswez kuw kipaumbele, mawazo na matendo yake yote yaweke mwisho kabisa wa mstari. Idea aliyokuwa nayo tu taysr haina uwezo wa kuwafanya kuwa kitu kimoja. Yeye ndugu zake sio wewe
 
Pole sana Wazazi wengi wanashida ya kisaikolojia hata vitabu vya dini vinatambua hilo.

Waefeso 6-4
4 Nanyi akina Baba(Mama akiwepo) msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana.

Point ni kuhama hapo nyumbani nenda kafanye maisha yako endelea kumuheshimu/kuwasiliana nae mara chachechache.

Muachie muda mzuri wakuwasiliana na hao anaosema ni ndugu zake na wewe nenda katengeneze ndugu zako mbele ya safari acha kuwa mnyonge mnyonge.
 
Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..

Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way

Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮‍💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara mi nahonga wanaume mara mim akili ya biashara sina mpk nikanyimwa pesa ya biashara akatulia 😒 mzee kachukua pesa kaend kumpa mwanamke wake wa nje amfungulie biashara ndo anakuja kwangu et tuungane 🥹 sas tunaungana kwenye nini?

Kuna muda naelewa kwanini baadhi ya vijana wakifanikiwa hawawakumbuki wazazi wao mbona familia nyingine wanasimama na watoto wao 😔 mama angu anasimama na ndugu zake siku nilipomuuliza akanambia mim wale ndo ndugu zangu nashare nao jina la ukoo wewe kwenu ni baba ako yan mtu anaesimama na mimi ni Boyfriend wangu kwel jamaaan 😢

Halaf at the end of the day ananiambia mwanaume huyo hakufai hana hela mtoto mpumbavu wewe huna akili ni kweli hana hela ila ndo ambae anakua upande wangu sas hapo kosa liko wapi 😔 kuna muda ananiambia mara ye mwenyewe haelewi mara sijui anahisi ka karogwa sio akili zake 📖😒

Jamani wazazi kuna muda hamfanyi sawa.
Mama anataka ukajiuze, ma Braza menu wapo ukitaka hela utazipata ila huko chini utaoza🤣🤣
 
Kwa akili hii ulizokuja nazo hapa mama yupo sahihi. Wewe ni ndezi, hutaweza kusimamia huo mtaji ukakua sana sana utauzamisha.
 
Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..

Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way

Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮‍💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara mi nahonga wanaume mara mim akili ya biashara sina mpk nikanyimwa pesa ya biashara akatulia 😒 mzee kachukua pesa kaend kumpa mwanamke wake wa nje amfungulie biashara ndo anakuja kwangu et tuungane 🥹 sas tunaungana kwenye nini?

Kuna muda naelewa kwanini baadhi ya vijana wakifanikiwa hawawakumbuki wazazi wao mbona familia nyingine wanasimama na watoto wao 😔 mama angu anasimama na ndugu zake siku nilipomuuliza akanambia mim wale ndo ndugu zangu nashare nao jina la ukoo wewe kwenu ni baba ako yan mtu anaesimama na mimi ni Boyfriend wangu kwel jamaaan 😢

Halaf at the end of the day ananiambia mwanaume huyo hakufai hana hela mtoto mpumbavu wewe huna akili ni kweli hana hela ila ndo ambae anakua upande wangu sas hapo kosa liko wapi 😔 kuna muda ananiambia mara ye mwenyewe haelewi mara sijui anahisi ka karogwa sio akili zake 📖😒

Jamani wazazi kuna muda hamfanyi saw

Wazazi wanaweza kukosea pia, na si kila ushauri wa mzazi huwa sahihi. Lakini usikubali hali hii ikufanye umchukie mama yako. Jitahidi kujitegemea, weka mipaka kwenye mambo ya biashara yako, na maamuzi makubwa yafanye kwa utulivu na kwa ushahidi—not kwa hasira.

Na kuhusu boyfriend wako, kama kweli anakusimamia na anakuheshimu, usimpime kwa pesa pekee. Cha muhimu ni tabia, uaminifu na namna anavyokujenga. Mafanikio yako ya kesho yasitegemee mtu mmoja; jenga uwezo wako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom