Mama anataka ukajiuze, ma Braza menu wapo ukitaka hela utazipata ila huko chini utaoza🤣🤣Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..
Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way
Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara mi nahonga wanaume mara mim akili ya biashara sina mpk nikanyimwa pesa ya biashara akatulia 😒 mzee kachukua pesa kaend kumpa mwanamke wake wa nje amfungulie biashara ndo anakuja kwangu et tuungane 🥹 sas tunaungana kwenye nini?
Kuna muda naelewa kwanini baadhi ya vijana wakifanikiwa hawawakumbuki wazazi wao mbona familia nyingine wanasimama na watoto wao 😔 mama angu anasimama na ndugu zake siku nilipomuuliza akanambia mim wale ndo ndugu zangu nashare nao jina la ukoo wewe kwenu ni baba ako yan mtu anaesimama na mimi ni Boyfriend wangu kwel jamaaan 😢
Halaf at the end of the day ananiambia mwanaume huyo hakufai hana hela mtoto mpumbavu wewe huna akili ni kweli hana hela ila ndo ambae anakua upande wangu sas hapo kosa liko wapi 😔 kuna muda ananiambia mara ye mwenyewe haelewi mara sijui anahisi ka karogwa sio akili zake 📖😒
Jamani wazazi kuna muda hamfanyi sawa.
Anashauri apate Wanaume wenye hela🤣🤣Pole sana mkuu huyo mama yako ana tabia za kichawi
Kwa akili hii ulizokuja nazo hapa mama yupo sahihi. Wewe ni ndezi, hutaweza kusimamia huo mtaji ukakua sana sana utauzamisha.Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..
Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way
Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara mi nahonga wanaume mara mim akili ya biashara sina mpk nikanyimwa pesa ya biashara akatulia 😒 mzee kachukua pesa kaend kumpa mwanamke wake wa nje amfungulie biashara ndo anakuja kwangu et tuungane 🥹 sas tunaungana kwenye nini?
Kuna muda naelewa kwanini baadhi ya vijana wakifanikiwa hawawakumbuki wazazi wao mbona familia nyingine wanasimama na watoto wao 😔 mama angu anasimama na ndugu zake siku nilipomuuliza akanambia mim wale ndo ndugu zangu nashare nao jina la ukoo wewe kwenu ni baba ako yan mtu anaesimama na mimi ni Boyfriend wangu kwel jamaaan 😢
Halaf at the end of the day ananiambia mwanaume huyo hakufai hana hela mtoto mpumbavu wewe huna akili ni kweli hana hela ila ndo ambae anakua upande wangu sas hapo kosa liko wapi 😔 kuna muda ananiambia mara ye mwenyewe haelewi mara sijui anahisi ka karogwa sio akili zake 📖😒
Jamani wazazi kuna muda hamfanyi sawa.
Hakika mkuu yani huyo bimkubwa sio kabisaAnashauri apate Wanaume wenye hela🤣🤣
Umalaya wa Wasichana unaanza na mama zao
Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah…..
Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way
Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara mi nahonga wanaume mara mim akili ya biashara sina mpk nikanyimwa pesa ya biashara akatulia 😒 mzee kachukua pesa kaend kumpa mwanamke wake wa nje amfungulie biashara ndo anakuja kwangu et tuungane 🥹 sas tunaungana kwenye nini?
Kuna muda naelewa kwanini baadhi ya vijana wakifanikiwa hawawakumbuki wazazi wao mbona familia nyingine wanasimama na watoto wao 😔 mama angu anasimama na ndugu zake siku nilipomuuliza akanambia mim wale ndo ndugu zangu nashare nao jina la ukoo wewe kwenu ni baba ako yan mtu anaesimama na mimi ni Boyfriend wangu kwel jamaaan 😢
Halaf at the end of the day ananiambia mwanaume huyo hakufai hana hela mtoto mpumbavu wewe huna akili ni kweli hana hela ila ndo ambae anakua upande wangu sas hapo kosa liko wapi 😔 kuna muda ananiambia mara ye mwenyewe haelewi mara sijui anahisi ka karogwa sio akili zake 📖😒
Jamani wazazi kuna muda hamfanyi saw