Mama yangu ni mtu ambae amekua akinikwamisha kwenye maendeleo yangu

Aisee.

Huenda wali ku adopt.
 
Mtoto wa kiume anafaa kupewa mtaji watoto wa kike wao wasubili kuolewa wazazi wetu ni vizazi vya millenia bado wanahayo mawazo lkn ukicheki kwa uhalisia unampa binti mtaji ili atafute pesa za nini?? Hana familia hana majukumu just matumizi ya kawaida tu
Kwanini mtoto wakiume ni priority sababu anaweza kutoka home akajitegemea akafanya familia
Huwezi mpa mtaji mtoto wa kike alhali yupo home tu kwamba asubuhi anaenda kazini kumtafutia nani kila kitu kipo hoz
 
Wewe lazima utakuwa na shida!
Na unaweza kuta ni kweli hela ya biashara unakula raha na boyfriend wako..

Nyie watoto wa kishua huwa na matatizo na kudeka sana
 
Nimeona neo tu kurogwa nikajua nyie ni wapumbavu bila hata kusoma uzi wote
 
Case ndogo sana hyo. Kuwa nunda ila usiwakosee heshima. Mi wangu wali nyanyua mikono juu waisanda yanu. Salamu watapewa ila mambo yangu siwaambii wanakuja ambiwa tu jamaa kafanya 1,2,3 waongee wagombe mi nimekula barafu sina habari.

NB: Sio kila mipango yako ya kushirikisha wazazi. Fanya mwenyewe trust ur insticts piga story na strangers. Narudia USIMKOSEE MZAZI HESHIMA wewe lead a life ambayo hujali kuwa sugu kihisia hii dunia tayari battle field joh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…