ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Aisee noma
Iko waz kaka huko n ngada TU kwa miaka Ile ndio mambo ya akina dada kuwa mapunda yalishamir SANA hasa madada wa kino magomen na ilala ilikuwa too muchIla ni muda sana alipigw mvua huko kwa wavimba macho,na mtangazaji angemuliza sababu ya mama yake kufungwa huko ni nini???
Ova
Wale bado wako ndani,watakuja tu kutokaIko waz kaka huko n ngada TU kwa miaka Ile ndio mambo ya akina dada kuwa mapunda yalishamir SANA hasa madada wa kino magomen na ilala ilikuwa too much
Ndio miaka Ile akina shamimu waliibuka na kujifanya independent woman
Hiv mkuu kesi ya shamimu mwasha iliishaje?
Duh kumbe bado wapo ndan na mumewe Abdul hatar sanaWale bado wako ndani,watakuja tu kutoka
Shamim naona kajifunza!
Ova
Shamim,kosa lake ni kutoonesha ushirikianoDuh kumbe bado wapo ndan na mumewe Abdul hatar sana
Nakumbuka pale magomen tulikuwa tunashinda naye kwenye ofis yake ya usafirishaj nadhan nayo sasa ishajifia
Wamejifunza watolewe sasa shamimu alisoma na sista angu advance mkwawa anasema alikuwa mtoto wa town toka enzi hizo Kila weekend yupo mjn dsm
Anataka asaidiwaje??,?
Yah nsembo alikuwa na nyodo SANA na aliitumia kampuni yake kama kuzuga TU kuna jamaa mmoja anaitwa yanga Omar kutoka tanga alikuwa anakuja na vogue yake kwa nsembo kuna jamaa akaniambia ndio boss wa nsemboShamim,kosa lake ni kutoonesha ushirikiano
Wazee walipovamia jamaa si alijificha juu ya Dari,alipoulizwa akasema jamaa hayupo kumbe jamaa walikuwa na info zote kuwa yupo ndani mule
Ahh yah nsembo alikuwa na nyodo bana 😄
Anyway watatoka tu Sema watakuwa wamejifunza kitu
Ova
Yanga omar alifariki mkuuYah nsembo alikuwa na nyodo SANA na aliitumia kampuni yake kama kuzuga TU kuna jamaa mmoja anaitwa yanga Omar kutoka tanga alikuwa anakuja na vogue yake kwa nsembo kuna jamaa akaniambia ndio boss wa nsembo
Sijui naye yanga Omar yupo wapi
Huyo mama ake hawajamvunjavunja miguu kwa risasi?Dada yake Diamond, Queen Darleen amesema mama yake mzazi yupo jela Hong Kong, na mara ya mwisho wameonana miaka 10 dah
Alikamatwa 2018, 2024 alikufa akiwa gerezaniYah nsembo alikuwa na nyodo SANA na aliitumia kampuni yake kama kuzuga TU kuna jamaa mmoja anaitwa yanga Omar kutoka tanga alikuwa anakuja na vogue yake kwa nsembo kuna jamaa akaniambia ndio boss wa nsembo
Sijui naye yanga Omar yupo wapi
Nimeona mtu kaandika yanga omar amededi, ila mara ya mwisho kusikia habari zake ni kuwa jela kama wenzie.Yah nsembo alikuwa na nyodo SANA na aliitumia kampuni yake kama kuzuga TU kuna jamaa mmoja anaitwa yanga Omar kutoka tanga alikuwa anakuja na vogue yake kwa nsembo kuna jamaa akaniambia ndio boss wa nsembo
Sijui naye yanga Omar yupo wapi
Inakuwaje wengine wanakamatwa wengine hawakamatwi?Nimeona mtu kaandika yanga omar amededi, ila mara ya mwisho kusikia habari zake ni kuwa jela kama wenzie.
Nani hajakamatwa?Inakuwaje wengine wanakamatwa wengine hawakamatwi?
Tuishie hapaNani hajakamatwa?
Kwani Shamim kaachiwa?...walijua kuturusha roho jamani....mama la vibubuIko waz kaka huko n ngada TU kwa miaka Ile ndio mambo ya akina dada kuwa mapunda yalishamir SANA hasa madada wa kino magomen na ilala ilikuwa too much
Ndio miaka Ile akina shamimu waliibuka na kujifanya independent woman
Hiv mkuu kesi ya shamimu mwasha iliishaje?