Mama yangu yupo jela hong kong_Queen Darleen

Mama yangu yupo jela hong kong_Queen Darleen

Yah nsembo alikuwa na nyodo SANA na aliitumia kampuni yake kama kuzuga TU kuna jamaa mmoja anaitwa yanga Omar kutoka tanga alikuwa anakuja na vogue yake kwa nsembo kuna jamaa akaniambia ndio boss wa nsembo

Sijui naye yanga Omar yupo wapi
Omar alishakufa
 
Iko waz kaka huko n ngada TU kwa miaka Ile ndio mambo ya akina dada kuwa mapunda yalishamir SANA hasa madada wa kino magomen na ilala ilikuwa too much

Ndio miaka Ile akina shamimu waliibuka na kujifanya independent woman

Hiv mkuu kesi ya shamimu mwasha iliishaje?
Alipigwa mvua ya maisha jela
 
Shamim,kosa lake ni kutoonesha ushirikiano
Wazee walipovamia jamaa si alijificha juu ya Dari,alipoulizwa akasema jamaa hayupo kumbe jamaa walikuwa na info zote kuwa yupo ndani mule

Ahh yah nsembo alikuwa na nyodo bana 😄
Anyway watatoka tu Sema watakuwa wamejifunza kitu

Ova
Wale wamekula nyundo ya maisha
 
Back
Top Bottom