Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
SALAM,
Leo naomba kumwandikia MAMA YETU KIPENZI MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN kama mwanaye na mwananchi mwenye UCHUNGU NA NCHI YAKE...
Mheshimiwa Rais, kwa hakika naomba kukiri kuwa toka umechukua nchi umetekeleza sera ya kuongeza fedha kwenye mzunguko yaani expansionary monetary and fiscal policy ili KUCHOCHEA UZALISHAJI, KUTENGENEZA NAFASI NYINGI ZA AJIRA, KUONGEZA AGGREGATE DEMAND, KUONGEZA MAKUSANYO YA SERIKALI.....
Yote haya yanalenga kuboresha maisha ya WATANZANIA kwa ujumla. Kwa hakika BINAFSI NAKUPONGEZA SANA MAMA YETU MPENDWA.
Pamoja na pongezi hizo naomba kukuomba machache;
Kwanza kabisa naomba kukufahamisha kuwa kwenye Ofisi nyingi za UMMA utendaji umedorora sana na hii inatoksna na WATENDAJI wako wengi wameshindwa kuitafsiri NIA YAKO NJEMA YA KUJENGA UTAMADUNI WA KUJITUMA BILA KUSUKUMWA...
Kwa sababu inawezekana mifumo yenu ya kiutumishi, kanuni na taratibu zilizowekwa ni Aidha hazisimamiwi au zina mapungufu....
Naomba MAMA YETU uongeze strictness, accountability na wasioweza kusimamia na kutekeleza majukumu yao WAKAE PEMBENI..... Watendaji hawahawa kwenye sekta BINAFSI wanaperform miracles LAKINI SERIKALINI BUSINESS AS USUAL!!!!
Sijui ili motion ya wateuliwa kurudi kwenye mishahara yao ya awali kama watashindwa kutekeleza majukumu yao kama iliidhinishwa LAKINI HALI YA UTENDAJI SIYO NZURI...
Sasa hivi maswali magumu yanatolewa majibu mepesi na wakati mwingine hakuna majibu na HII HUPELEKEA MADHAKA NA WASISI KWA UMMA.
Mambo kama Changamoto ya umeme, kukwama kwa mifumo ya malipo SERIKALINI, ajali za barabarani, utendaji katika vituo vya kutolea huduma kama Afya n.k yanahitaji kuangaliwa kwa karibu na kuchukuliwa maamuzi magumu!!!!
Mheshimiwa Mama yetu, WATANZANIA WENGI HAWAJAFIKIA KIWANGO NA NIDHAMU YA KUJITUMA BILA KUSUKUMWA!!!! NASHAURI IKIKUPENDEZA TUMBUA WASIOWEZA TO DELIVER TO THE EXPECTATIONS ZA NCHI NA KUKUSAIDIA KAMA KIONGOZI MKUU WA NCHI!!!!
Sasa hivi UPIGAJI UMESHAMIRI, HOFU IMEONDOKA NA HELA ZA UMMAH ZINACHEZEWA KWENYE MIRADI, UTOAJI WA HUDUMA NI CHANGAMOTO, WATENDAJI WANAAMINI WAMEPATA VYEO KHALASI, POLISI, HOSPITALI, MASHULENI NI SHIDA!!!! Mama yetu MPENDWA fukuza wote ambao wanadhindwa kusimamia majukumu yao kwa weledi!!!!
Inafikia wakati unaingia ofisi ya UMMAH unamkuta MFANYAKAZI amelewa yuko chakari na IMMEDIATE SUPERVISORS WAKE WAPO, Au unamkuta MGANGA yupo busy anachati na wagonjwa wanamsubiria, Je Rais wetu utaweza kuhangaika mpaka na haya ya chini WAKATI WATEULE WAKO WAPO???
Nakushauri kukitokea uzembe WEWE FUKUZA WOTE KUANZIA IMMEDIATE SUPERVISOR MPAKA WAZIRI ili kila mtu AZINDUKE KUTOKA KWENYE USINGIZI WA PONO!!!!
Leo utasikia kesi za uzembe za ajabuajabu, upigaji na hakuna anayewajibika!!!
Mlango huu utakuchonganisha na wananchi RAIS wangu, nakuomba uufunge mapema!!!!
Kwa uzoefu mabadiliko makubwa yametokea kwa KUCHUKULIWA MAAMUZI MAGUMU mpaka waliowengi kuelewa, ndiyo maana hata kwenye DEVINE SCRIPTURES kumewekwa sheria ngumu hali inayoonesha MWANADAMU bila sheria ngumu haendi....
Mimi sijui vya ndani LAKINI NAAMINI HATA WASAIDIZI WAKO WANAOKUZUNGUKA HAWAJITUMI KWA WELEDI, NGUVU NA MAARIFA KAMA UNAVYOWATEGEMEA,,,
LAKINI PIA KUTUMBUA HAKUTOSHI, WANAOTHIBITIKA WACHUKULIWE HATUA KALI kama kufilisiwa, kuzuiliwa KUSHIKA nafasi ya ummah iwe ya kuajiriwa, kuteuliwa au kuchaguliwa MILELE.... hii italeta nidhamu, matokeo chanya na kuinua UTENDAJI NA UWAJIBIKAJI.... over time tutaelewa na tutajituma kama WATANZANIA BILA KUSUKUMWA