Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT

Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT

Nimemfuatilia kwa kina Mama yetu Samia na kuridhika kuwa ana uwezo mkubwa ndiyo maana akamudu kuendelea kujenga miradi yote aliyoacha JPM na kuongeza mingine mipya.
Ameweza kuwatumbua hata vigogo kama vile Mkurugenzi wa TISS na Katibu Mkuu Kiongozi.
Kwa hiyo Mama yuko vizuri.
Ndio mwingi wa kukopa matrilioni kila uchao

USSR
 
Ndio mwingi wa kukopa matrilioni kila uchao

USSR
Kwani kuna kiongozi amewahi kupita bila kukopa? Yupo mmoja alikuwa anakopa kisha anaongopea umma kuwa ni fedha sijui za wanyonge
 
Ila huyu Maza huyuu...,hahahaa..watakaompa kura 2025 sidhani km watakua wametimia
Mama yupo vizuri wenye akili wanamkubali ameonesha kuwa uongozi ni busara na hekima Wala sio mabavu na kujigeuza Mungu mtu kiukweli amewafundisha wanaume wa bara maana ya cheo ni dhamana
 
Wiki 2 zilizopita nilikwenda Ofisi za Ardhi makao makuu ya dsm kwa kweli watumishi wengi walikuwa wanapiga story tuu.
 
Back
Top Bottom