Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT

Ndio mwingi wa kukopa matrilioni kila uchao

USSR
 
Ndio mwingi wa kukopa matrilioni kila uchao

USSR
Kwani kuna kiongozi amewahi kupita bila kukopa? Yupo mmoja alikuwa anakopa kisha anaongopea umma kuwa ni fedha sijui za wanyonge
 
Ila huyu Maza huyuu...,hahahaa..watakaompa kura 2025 sidhani km watakua wametimia
Mama yupo vizuri wenye akili wanamkubali ameonesha kuwa uongozi ni busara na hekima Wala sio mabavu na kujigeuza Mungu mtu kiukweli amewafundisha wanaume wa bara maana ya cheo ni dhamana
 
Wiki 2 zilizopita nilikwenda Ofisi za Ardhi makao makuu ya dsm kwa kweli watumishi wengi walikuwa wanapiga story tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…