Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Mkuu, mambo ya porini hayapimwi hivyo, hizo ni logic za darasani, huko porini ni timing tu, ukizembea unakua kitoweo
Mkuu nimeshangaa analeta vipimo utadhani anatengeneza meza wakati mamba analiwa tuu na Jaguar na akimuona anajaribu kuzama ili asionekane lakini wapi anachukuliwa Jaguar ni shida ingine ile...
 
Binadamu gani mkuu wamasai walijaribu ishu yao ya kuua Simba kilichowatokea waliobaki salama mara huyu paja limekatwa mwingine mbavu mbili hakuna Simba sijui mnamchukuliaje ninyi Wananchi mimi Simba namfananisha na short ya high voltage ya umeme..
 
Nadhani hii ni post ya kipumbavu kuwahi kuiona mwezi huu
 
Maghayo una matatizo
 
Sema labda utamzidi mbio akiwa nje ya mayi ila zaidi ya hapo ni assassination.
 
Hilo jamaa kwanza ni likubwa na lina nguvu kushinda mamba, na domo lake limejaa mijino mirefu ya kutisha.

Mamba huwa hajaribu hata kugusa kitoto chake anajua akijichanganya wenzie wanaimba pambio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binadamu gani mkuu wamasai walijaribu ishu yao ya kuua Simba kilichowatokea waliobaki salama mara huyu paja limekatwa mwingine mbavu mbili hakuna Simba sijui mnamchukuliaje ninyi Wananchi mimi Simba namfananisha na short ya high voltage ya umeme..
Mkuu nilitaka kukutag uwaelezee jinsi simba anavusha watoto kule zambezi na marufuku mamba kusogea
 
Mamba habari nyingine labda muwe mnamzungumzia Mamba Konki Dububaya Oil Chafu
Ila mbona Simba anambondaga asee ...Kuna clip niliona mamba alikwanguliwa macho na Simba dume, duuh lile dubwasha lilikimbia vibaya itakuwa aliliumiza[emoji1787][emoji1787]

Tena maji yalikuwa na kina kirefu tuu

Ila Simba kapinda asee daah, hasa dume
 
Simba kwake nchi kavu
Kwenye maji lazima akalishwe vizuri tu

Mamba akiwa nje ya maji hana ujanja

Alafu pia kuna simba na simba dume.

Achana na simba dume
 
Brother, mamba ni super predator bila ubishi, kwa sababu hizi. 1. Hana huruma kwa victim wake, 2. Haogopi mnyama anayekabiliana naye. 3. Vile vile, mamba Yuko accurate zaidi Katika kuwinda huwezi mlinganisha na Simba. Wapo wanyama ambao Simba huwawinda kwa taabu Sana na ikibidi huishia kujeruhiwa au kufa. Simba mmoja huwezi kuua mbogo mpaka wawe kundi.
Mamba hahitaji msaada Katika mawindo yake. Cheza na wanyama wengine sio mamba.
Kalaga baho.
 
Mamba vs simba
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…