Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
Nasikia Wachina walimaliza mamba wa wami pale kwa kitoweo. Au huenda walikuwa mamber.
😀😀😀.sisi ndo hatari zaidi.ah sasa binadam utamuweza ndugu yangu!!!
hata akitaka kula nyangumi atamla tu.
Kuna sehemu nimesoma, kuna mamba ana 750kg. Hapo hata uungane ukoo wa simba wote hawawezi fua dafu wakimkuta majiniHaiwezekani mkuu, Jaguar ni mdogo sana kwa mamba, mdogo sana..
Jaguar ana uzito kati ya kilo 56 hadi 130 tena huo ni mkubwa sana ila average ni kilo 56 hadi 98 huku akiwa na urefu wa futi 6 maximum ama sentimita 180.
Mamba wa mito yetu anaanza na uzito mdogo ni kilo 200 hadi kilo 414.
Halafu kwenye bite force per square inch kwa hawa wanyama wala nyama Jaguar anawazidi simba, chui na hata Duma ila sio fisi ila kwa almost wanyama wote mamba ndio mwisho wa matatizo.
Yani vurugu tu ili bara letuKuna bata maskani alikimbiza mwanangu, kaingia ndani kilio tu 😂
SurelyKama nyegere anavyosumbua wakongwe
Mamba wa afrika anafika tani 1Yule sio mamba, ni jamii ya mamba ila sio mamba kamili, ni kama kenge aliechangamka.
Yule ana uzito usiozidi kilo 50 wakati mamba ana hadi kilo 400 na urefu hadi wa futi 21 na nchi 2.
![]()
Nile crocodile - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Usimdanganye Jaguar ajichanganye kwenye mito yetu hii, katoto ka mamba ndio katakaomtafuna na wala hatatosha.
Lile bata hata mtu mzima linamtingisha, kama wa kike ndio kabisaaaYani vurugu tu ili bara letu
Uzi utajaa wamakonde Sasa[emoji4]Na timu Tembo[emoji208] boy
Aaisee asimwambie mutuu kuna uhuni alifanyiwa Kiboko mmoja ambaye katika misele yake nyikani akakutana na Simba. Kile alichofanyiwa ni kitendo ovu cha kukemea kwa nguvu zote.unajua simba au paka wote wana nguvu sana kwa wanyama wenye shingo.
sasa ukiiangalia shape ya kiboko,na ule mdomo unaofanya shambulio kama mkasi,ni hatari sana kwa simba.
ni bora akale hata mapera lakini sio kuingia mtoni kumfata kiboko,kwanza ratio ya uzito ni kama 1:6[emoji16]
Mamba wako huyo hapo anatoka nduki baada ya kukumbana na dubwasha lisilotishiwa nyau.mzee
amazon ndio kuna hawa jaguar kwa wingi,anaconda nk.
picha hizi ni mwendelezo wa huyo mamba wa mchongo wa america ya kusini akiliwa na anaconda.
mamba wa ki nigga ni habari nyingine.
kuhusu simba kuwa jasiri ni kweli,ila ujasiri wake una mipaka,ngoja nikutajie wanyama ambao simba huwa hafikirii kuwadhuru isipokuwa aamue kubeti,kufa au kupona sawa.
binaadam,tembo,faru,boko,mamba na nyati dume.hapo simba hukimbia kabisa na ukiona kasimama ujue kakibali kila kitu.
Mamba na utemi wake wote majini anapomuona mfalme anakatiza kwenye maji lazima atoke ndukiWamejaa tele, mamba Hana ubabe wowote NDIO maana analiwa
Nahisi jamaa ameona kenge sio mamba. Mamba mmoja wa kawaida anapima mpaka kilo 300 wakati hao mbwa wote wanne hawafikishi hata kilo 120.😁😁 Huyo atakua Ni Mamba wa dar mkuu(Kama watakuwepo huko)😁😁
Pia ana biting force kubwa akishika pale shingoni hakuna hewa inapita mnyama lazima atulieJaguar ni noma,huwa anazamia kabisa chini ya maji kwenye kikilikakara za kumtoa mamba Nchi kavu, Jaguar inaonekana ana nguvu mnoo
🤣🤣🤣🤣🏃♂️🏃♂️Uzi utajaa wamakonde Sasa[emoji4]