Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Jamii forum tamu sana aisee unasoma hivi unacheka mpaka unatoa machozi...Mamba akilaga nyama tamu huwa hadi anatoa machozi kweli ni mchumba tu huyo..😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii forum tamu sana aisee unasoma hivi unacheka mpaka unatoa machozi...Mamba akilaga nyama tamu huwa hadi anatoa machozi kweli ni mchumba tu huyo..😂
Mkuu nimeshangaa analeta vipimo utadhani anatengeneza meza wakati mamba analiwa tuu na Jaguar na akimuona anajaribu kuzama ili asionekane lakini wapi anachukuliwa Jaguar ni shida ingine ile...Mkuu, mambo ya porini hayapimwi hivyo, hizo ni logic za darasani, huko porini ni timing tu, ukizembea unakua kitoweo
Binadamu gani mkuu wamasai walijaribu ishu yao ya kuua Simba kilichowatokea waliobaki salama mara huyu paja limekatwa mwingine mbavu mbili hakuna Simba sijui mnamchukuliaje ninyi Wananchi mimi Simba namfananisha na short ya high voltage ya umeme..mzee
amazon ndio kuna hawa jaguar kwa wingi,anaconda nk.
picha hizi ni mwendelezo wa huyo mamba wa mchongo wa america ya kusini akiliwa na anaconda.
mamba wa ki nigga ni habari nyingine.
kuhusu simba kuwa jasiri ni kweli,ila ujasiri wake una mipaka,ngoja nikutajie wanyama ambao simba huwa hafikirii kuwadhuru isipokuwa aamue kubeti,kufa au kupona sawa.
binaadam,tembo,faru,boko,mamba na nyati dume.hapo simba hukimbia kabisa na ukiona kasimama ujue kakibali kila kitu.
Usichanganywe na picha mzee. Picha huwa ni timing tu, haikuonyeshi mwisho wa battle ulikuwaje.cheki amebanwa na zebra hana ujanja.
View attachment 2307229
Maghayo una matatizoMzuka wanajamvi!
Mamba hakidhi vigezo vya kuitwa au kuwa Super Predator. Kwa mtazamo wangu hastaili kuwa kabisa kwenye Hilo kundi la Super predator.
Wanyama wengine ambao wako kwenye Hilo kundi Simba, Chui, Duma, Mbwa mwitu na Fisi wanastahili sifa zote na wanakidhi vigezo.
Licha ya uhodari wa Mamba, nguvu, kuogopwa, ukubwa wa mwili ushupavu na nguvu zote anazo anavyowinda na kutwaa windo Bado tu ni mchumbaaa kwasababu ANATAGA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo jamaa kwanza ni likubwa na lina nguvu kushinda mamba, na domo lake limejaa mijino mirefu ya kutisha.
Mamba huwa hajaribu hata kugusa kitoto chake anajua akijichanganya wenzie wanaimba pambio.
Karibu if mkuuJamii forum tamu sana aisee unasoma hivi unacheka mpaka unatoa machozi...
Mkuu nilitaka kukutag uwaelezee jinsi simba anavusha watoto kule zambezi na marufuku mamba kusogeaBinadamu gani mkuu wamasai walijaribu ishu yao ya kuua Simba kilichowatokea waliobaki salama mara huyu paja limekatwa mwingine mbavu mbili hakuna Simba sijui mnamchukuliaje ninyi Wananchi mimi Simba namfananisha na short ya high voltage ya umeme..
ankulaga vi lacoste yule pimbiYule hakamati Mamba, anakamata caiman(crocodile's cousin). Mlete huyo jaguar pale mto mara uone shughuli yake.
Ila mbona Simba anambondaga asee ...Kuna clip niliona mamba alikwanguliwa macho na Simba dume, duuh lile dubwasha lilikimbia vibaya itakuwa aliliumiza[emoji1787][emoji1787]Mamba habari nyingine labda muwe mnamzungumzia Mamba Konki Dububaya Oil Chafu
Kuna watu unaweza kusikia wameliwa na kuku! 😅Inaonesha wewe ni mdebwedo sana, hadi kuku wanakuona mnyonge…. namna gani pale.!!
Naomba hii kwangu haifungukiMamba vs simbaView attachment 2311421