The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Yule sio mamba, ni jamii ya mamba ila sio mamba kamili, ni kama kenge aliechangamka.Kuna mwamba anaitwa jaguar, anafuata mamba kumayi na kumburuta
Hivi watafiti wa kizungu wanasubiri nini kutuletea huu mpambano? Mamba v jaguar, hao watu ni vihere here sanaYule sio mamba, ni jamii ya mamba ila sio mamba kamili, ni kama kenge aliechangamka.
Yule ana uzito usiozidi kilo 50 wakati mamba ana hadi kilo 400 na urefu hadi wa futi 21 na nchi 2.
Usimdanganye Jaguar ajichanganye kwenye mito yetu hii, katoto ka mamba ndio katakaomtafuna na wala hatatosha.
Acha ushabiki mandazi. Simba hamuwezi mamba.Mimba hana cha kumfanya Simba labda amuotee sana.
Yani Simba anambonda ndugu Mamba home and away
Haiwezekani mkuu, Jaguar ni mdogo sana kwa mamba, mdogo sana..Hivi watafiti wa kizungu wanasubiri nini kutuletea huu mpambano? Mamba v jaguar, hao watu ni vihere here sana
Mkuu, mambo ya porini hayapimwi hivyo, hizo ni logic za darasani, huko porini ni timing tu, ukizembea unakua kitoweoHaiwezekani mkuu, Jaguar ni mdogo sana kwa mamba, mdogo sana..
Jaguar ana uzito kati ya kilo 56 hadi 130 tena huo ni mkubwa sana ila average ni kilo 56 hadi 98 huku akiwa na urefu wa futi 6 maximum ama sentimita 180.
Mamba wa mito yetu anaanza na uzito mdogo ni kilo 200 hadi kilo 414.
Halafu kwenye bite force per square inch kwa hawa wanyama wala nyama Jaguar anawazidi simba, chui na hata Duma ila sio fisi ila kwa almost wanyama wote mamba ndio mwisho wa matatizo.
Kuna mwamba anaitwa jaguar, anafuata mamba kumayi na kumburuta
Mzuka wanajamvi!
Mamba hakidhi vigezo vya kuitwa au kuwa Super Predator. Kwa mtazamo wangu hastaili kuwa kabisa kwenye Hilo kundi la Super predator.
Wanyama wengine ambao wako kwenye Hilo kundi Simba, Chui, Duma, Mbwa mwitu na Fisi wanastahili sifa zote na wanakidhi vigezo.
Licha ya uhodari wa Mamba, nguvu, kuogopwa, ukubwa wa mwili ushupavu na nguvu zote anazo anavyowinda na kutwaa windo Bado tu ni mchumbaaa kwasababu ANATAGA.
Mamba akilaga nyama tamu huwa hadi anatoa machozi kweli ni mchumba tu huyo..[emoji23]
Huo mtazamo wako umetokana na utafiti uliofanya au ni akili zako tu za kibangi bangi na viroba ulivyobwia?Mzuka wanajamvi!
Mamba hakidhi vigezo vya kuitwa au kuwa Super Predator. Kwa mtazamo wangu hastaili kuwa kabisa kwenye Hilo kundi la Super predator.
Wanyama wengine ambao wako kwenye Hilo kundi Simba, Chui, Duma, Mbwa mwitu na Fisi wanastahili sifa zote na wanakidhi vigezo.
Licha ya uhodari wa Mamba, nguvu, kuogopwa, ukubwa wa mwili ushupavu na nguvu zote anazo anavyowinda na kutwaa windo Bado tu ni mchumbaaa kwasababu ANATAGA.
Hapa umejibu kama mtu mjinga, mtu ambae haelewi chochote. Pori lina kanuni zake na wanyama wote wanazijua.Mkuu, mambo ya porini hayapimwi hivyo, hizo ni logic za darasani, huko porini ni timing tu, ukizembea unakua kitoweo
Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
Sawa mwerevu, mtunzi wa kanuni za porini, pori master. Acha kuhamaki jenga hojaHapa umejibu kama mtu mjinga, mtu ambae haelewi chochote. Pori lina kanuni zake na wanyama wote wanazijua.
Kwa logic yako hiyo ni kwamba hata mbwa mwitu anaweza kumgeuza tembo kitoweo iwapo atamlia timing, sio? Aisee.
miaka ya nyuma kulikuwa home na jogoo ukienda kulifungulia lazima upate kipondo hadi unaingia ndani kujifungia.Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
...Ingia Uogelee kwenye Mto wenye Mamba ndio Utajua Vizuri kama yeye ni MCHUMBA TU ama ni Predator ! [emoji848][emoji848]Mzuka wanajamvi!
Mamba hakidhi vigezo vya kuitwa au kuwa Super Predator. Kwa mtazamo wangu hastaili kuwa kabisa kwenye Hilo kundi la Super predator.
Wanyama wengine ambao wako kwenye Hilo kundi Simba, Chui, Duma, Mbwa mwitu na Fisi wanastahili sifa zote na wanakidhi vigezo.
Licha ya uhodari wa Mamba, nguvu, kuogopwa, ukubwa wa mwili ushupavu na nguvu zote anazo anavyowinda na kutwaa windo Bado tu ni mchumbaaa kwasababu ANATAGA.
Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
Ndio Africa hii, bara kivuruge.miaka ya nyuma kulikuwa home na jogoo ukienda kulifungulia lazima upate kipondo hadi unaingia ndani kujifungia.
Dogo tulia na ujikite kwenye mada iliyopo mezaniHuo mtazamo wako umetokana na utafiti uliofanya au ni akili zako tu za kibangi bangi na viroba ulivyobwia?
Yale machozi si sababu ya utamu.Mamba akilaga nyama tamu huwa hadi anatoa machozi kweli ni mchumba tu huyo..😂