KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Miaka ya nyuma kuna wachina walikuja kuwinda mamba Mto Ruvu, wanapiga kwenye maji tochi kubwa zenye mwanga mkali sana, mamba wote wanaibuka na kutoa vichwa vyao nje ya maji,maana huo mwanga huwatia kizungu zungu, basi watapita na boti zao wale wakubwa wanapigwa shaba...wapeni kazi wachina watampata tu huyo ila pengine awe Mamba wa mitishamba.
 
Yule jamaa muongo sana. Kwa kuwa wikipedia n mtamdao unaoruhusu editing ya baadhi ya vitu ndio kaenda kaedit edit pale halafu anatuma uongo
 
huyo mamba si aliuawa? nakumbuka kuna jamaa wa kwenye series ya prison b, aliigiza kama Lincon alitoa movie inaitwa Guastave inamuhusu huyo mjuba, kaua watu zaidi ya hao 300 upande wa BURUNDI, anahisishwa na ushetani huyo mpuuzi
 
Hivi huo mto Ruzizi unamwaga maji yake ziwa Tanganyika?
 
A
Mamba anayeshindikana kuuwawa mpaka na askari wa wanyama pori wenye utaalam wote, anauwa watu hadi 300 labda waha wampe jina la umwamba haswa. Huyo sio crocodile, huyo ni kitu lingine.
Itwe
Mamba anayeshindikana kuuwawa mpaka na askari wa wanyama pori wenye utaalam wote, anauwa watu hadi 300 labda waha wampe jina la umwamba haswa. Huyo sio crocodile, huyo ni kitu lingine.
Aitwe MWAMI MAMBA
 
Wikipedia hata mtoto anaweza chapisha makala
Ziwa tanganyika linafika burundi,hivi jiografia gani mlisoma!?.. wengine tulichoreshwa ramani ya tanzay,africa na dunia kila wiki kwenye test
 
Ni kweli alikua Burundi kule mto rusizi unakomwaga maji ziwani
 
Wikipedia inasema ni Burundi badala ya Tanzania
Huyu mamba huwa anazunguka mwambao wa ziwa lote la tanganyika
So kuna muda anakuwa burundi some time anaonekana huko tanganyika drc na kuna muda anaonekana huko kigoma

Kuna move unaitwa Gustave imemuelezea vizuri saana

Nyingine inaitwa primave nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…