KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Japokuwa ume copy taarifa kutoka Wiki pedia, some wanasema ni myth na hamna picha yake halisi. Picha uliyotuma ni ya nile crocodiles ambao wapo kuanzia mto rusizi down to tanganyika lake.

Honestly japokuwa wanadai amekufa lakini hakuna ushahidi mpaka leo, mwili wake hauluwahi kupatikana
 
Itakuwa Ziwa Tanga yika limepanuka na kufika Burundi yaani🤔

Halafu Kigoma Jina Gustav halina maana yoyote, labda Mwami!
Gustave alimtolea yule mfaransa alietaka kumkamata kwa mtego huko Burundi
Na hii habari niliiona miaka kadhaa iliyopita na huyo Gustave mwisho kuonekana ilikuwa mwaka 2015 na wengine wanasema mwisho walimuona 2009

Ila hata maiti yake haijawahi kuonekana ingawa wanasema kafa
Tunasubiri siku moja waseme anaishi upande wetu wa Tz
 
Binafsi babu yangu aliwai kumuona huyo mamba akiwa nchi kavu kabisa
Alisema Yule hata akipakiwa kwenye scania kubwa kabisa lazima mkia wake wote ubuluze chini
 
Umeuliza swali la msingi

Utafika mbali
 
Serikali ya Samia izungumze vizuri na Maryland Zoo pamoja na Fort Worth Zoo kuhusu huyu Gustave apate kukamatwa na kupelekwa kwenye moja ya Zoo hizi na Tanzania ipate tozo! Watalii wakienda kumtazama Gustave, Tanzania inaingiza mapato pamoja tozo.
 
Hakuna mamba anayeweza kumgusa kiboko.ndo maana namshangaa huyo mwamba.kiboko mtata mamba mwenyewe anamjua.
Angalia youtube Gustave ( the Nile crocodile aisee huyu kiumbe ni mkubwa sana kiasi hata mamba wenzie anawazidi ukubwa saaana
Kuna watafiti walimshuhudia akiuwa kiboko kwa macho yao
Ni kweli mkuu huyu ni kiumbe tofauti mpaka warundi wanaamini ni mizimu sio mnyama
Unaona alivyo mkubwa hapo
Nilimsoma zamani sana huyu
 
Mamba anayekamata kiboko na tembo? Haiingii akilini kabisa, hiv unamjua kiboko vizuri akiwa kwenye territory yake?
You will be amaized namna nature ina suprises alikuwa estimated uref wa 20 feets na uzito wa 900kg probably ton na kitu.

Ukilinganisha na nile crocs wengine, huu si ukubwa wa kawaida. Ni beyond mamba wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…