KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Mkuu ni swali zuri sana
Kuna documentary moja niliiona huko amazon, walikuwa wana Drones yenye mitambo yote
Inapima urefu na hata uzito wa mnyama hata kama ni nyangumi
Huyo Gustave alikuwa anaonekana sana akiwa ndani ya maji na hata nje ya maji
Lakini huenda walikadiria wakati huo lakini kwa sasa technology hizi wazungu wamefanya mambo sana
 
You will be amaized namna nature ina suprises alikuwa estimated uref wa 20 feets na uzito wa 900kg probably ton na kitu.

Ukilinganisha na nile crocs wengine, huu si ukubwa wa kawaida. Ni beyond mamba wa kawaida
Huyu warundi wana haki ya kumuita Mzimu
Amepigwa mikuki ya kutosha na hata wamewahi kumpiga na mashine gun lakini wapi
Majeraha yanaonekana hapo
 
Kuna muvi kali sana kwa jina hilo nafikiri ilitengenezwa kongo
 
Wazungu waongo
Yaani mamba awepo hapo tangu 1955 hadi leo?

Lifespan ya mamba ni miaka mingapi?
 
Kigoma ya Burundi? Unamaanisha wakazi wa Kigoma ni watu wa Burundi? Unaanzisha mada mpya
We ndio unasema hayo ila unajua kabisa kuna kigoma 2 angalia alama nyekundu karibu na Rwanda
Kigoma, Burundi ipo na wewe unajua 😄
 
Itakuwa Ziwa Tanga yika limepanuka na kufika Burundi yaani🤔

Halafu Kigoma Jina Gustav halina maana yoyote, labda Mwami!
Ziwa tanganyika lipo hadi burundi , labda kama haufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…