Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Only that he died young, kuna moja ya story kwamba walienda kuiba benki kwa kuzuga kwamba wako wanaact movie, so wanatafuta location ya kufanyea scen ya Bank Robbery, kumbe ndo wameenda kuiba kweli.
Kama ni kweli, alikuwa amekwiva sana kwenye uhalifu.
 
Prettyboy Floyd
John Delinger Babyface Nelson
Km ilivyoelezewa na Mussolin kipengele namba 7 hawa ndo majambazi waliosumbua enzi hizo ambao dikteta huyo wa FBI alitumia intelejensia ya hali ya juu kuwasaka kimyakimya na kufanikiwa kuwamaliza

Huyo mzee hakuwa mtu wa mchezomchezo hata akina Osama bin Laden wangekuwepo ndani ya USA angewazima mapema kabisa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Umenifurahisha sana
 
Asante kwa picha murua kabisa, Edgar Hoover hakuwa mtu wa masihara hasa linapokuja suala la uhalifu.
 
Daaaa.....ina maana walishindwa hata kumdhibiti kwa kutumia wakubwa wa Jeshi la wananchi wa marekani.
Umdhibiti vipi? Wakati siri zao chafu alizifahamu.

Ukitaka mtu akutese wewe mruhusu ajue siri zako muhimu.

Halafu ndani ya Senate alikuwa anaungwa mkono na Maseneta walio wengi. Kwakifupi alikuwa kashajitengenezea mizizi kila kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…