Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Kwa majibu wa China Global Television Network (CGTN )mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Johnn Pombe Magufuli anaonekana ni Rais wa pekee sana na ni miongoni mwa Maraisi Watano bora (5) Afrika kutokana na njia yake ya pekee ya kuleta mageuzi katika Nchi yake. Mambo hayo 10 ni:
1.Utulivu na amani ,licha ya malalamiko ya kisiasa Tanzania Visiwani (Zanzibar) na Tanzania Bara katika miaka Minne ya utawala wake utulivu umekuwepo.
2.Uboreshwaji wa Mazingira ya biashara.Utawala wa Rais John Magufuli tangu unashika Khatami uliahidi kuondoa urasimu katika kufanya biashara kwa kutengeneza mazingira rafiki,uwajibikaji na vivutio vya kibiashara.Benki iitwayo Rand Mechant Bank(RMB)ya Afrika ya Kusini katika toleo lake la mwaka 2019 kanye jina "wapi pa kuelekeza katika Afrika"(Where to invest in Africa) limeonesha roti kuwa Tanzania ni Nchi ya 7 nzuri ya kuwekeza baada ya Misri,Afrika ya Kusini,Morocco,Ethiopia,Ghana na Kenya.
3.Uboreshwaji wa Demokrasia pamoja na hali ya kisiasa na uwepo wa vyama vya upinzani Prof Ahmed Mohhidin,mtaalamu wa siasa za kikanda amenukuliwa akisema "ushindani katika siasa Tanzania ni jambo lililozoeleka tangu uchaguzi wa vyama vingi vya kisiasa wa mwaka 1995.Na maandiko lukuki ya wanasayansi wa siasa wamekuwa walionesha licha ya kuwepo kwa uchaguzi zenye ushindani Nchini bado uimara wa demokrasia Nchini Tanzania umeonekana kuwa na nguvu zaidi ukilinganisha na Nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki.
4.Kupinga rushwa:Rais Magufuli ameonekana akiendeleza vita ya rushwa katika mshirika ya Umma na hata mashirika binafsi kwa sababu anaamini rushwa ni chanzo kikuu cha umasikini.Vita hii ya rushwa imezaa matunda mazuri"Transparency International imeiweka Tan
zania kama Nchi ya pili katika ukanda wa Afrika Mashariki baada ya Rwanda kwenye vita ya kupinga rushwa.
Mwaka 2018 "Corruption Perception Index"(CPI)iliiweka Tanzania kwenye salama za watani wa point 36 kutokana na kupiga hatua kutoka zaidi ya point 120 mwaka 2015.Tanzania ni Nchi ya 99.
Pamoja na hayo,mwaka 2017 tafiti za mtandao wa"Afrobarometer" zilibainisha kuwa asilimia 70 (70%) wanaamini kuwa rushwa katika Tanzania imepungua kwa kiasi fulani au kwa kiasi kikubwa hii ni tofauti na tafiti zilizofanyika mwaka 2014 ambapo ilionekana ni asilimia 13 (13%) wanaamini rushwa imepungua Nchini.
5.Utatuzi wa changamoto za Afrika;
Tanzania chini ya utawala wa awamu ya tano inafanya mageuzi makubwa ili kufukia malengo ya muono wa Taifa "Vision 2025" ambao ni kutoka kwenye Nchi za uchumi wa chini na kufukia uchumi wa kati ifikapo 2025.
6.Mageuzi ya kijamii:Mageuzi haya aneyafanya kwa kuongoza kwa mfano "leading by example" ambapo Serikali inatoa huduma za kijamii na miundombinu kwa umakini katika matumizi ya kodi za Wananchi.Kwa mfano tangu mwaka 2015 Serikali ya Tanzania imekuwa kutekeleza suala la utolewaji wa elimu bure ambapo kila mwezi Serikali hutenga shilingi bilioni ishirini na tatu (23 bill) kwa lengo la elimu bure.Matokeo yake ni ongezeko mara mbili zaidi la Wanafunzi waliokuwa wanakosa haki ya elimu kutokana na kukosa ada mashuleni
Sambamba na elimu bado Serika li ya Rais Magufuli imeongeza bajeti kwenye sekta ya Afya mara kumi zaidi na vituo vya kisasa vya afya inaendelea kujengwa kwenye vijiji,kata ,wilaya na mikoa wakati katika ngazi ya Taifa hospitali kubwa zineboreshwa mara dufu kwa kupanuliwa kwa huduma za kitaalamu za kitabu za upasuaji wa moyo,upandikizaji figo,uchunguzi wa kansa n.k.
7.Kulinda,kuzigatia usawa katika mgawanyo wa raslimali :Sheria tatu zimepitishwa ili kuhakikisha kutakuwa na usawa katika masuala ya madini hususani haki za wachimbaji wadogo,na uzuiwaji wa masoko ya magendo.Matokeo ya jitihada hizo ni ongezeko la mapato yanayotokana na sekta ya madini zaidi ya mara mbili.Uzalishaji wa dhahabu umeongezeka na pia madini ya Tanzanite yameongezeka kuliko ilivyokuwa mwanzo.
8.Rais asiyependa kuligharimu taifa:Miaka mitatu iliyopita alipunguza Safari zote za nje kutoka Dola milioni miamoja (USD 100m)mwaka 2014/2015 hadi dola milioni kumi (USD 10m)zilizotumika miaka mitatu iliyopita.
9.Ujenzi wa miundombinu: Rais Magufuli anaonekana kupenda sana miundombinu bora kwa mfano barabara n.k.Kwa mfano miaka machache iliyopita Rais Magufuli aliweka jiwe la msingi la barabara ya njia nane yenye ukubwa wa kilomita 19.2 ya Mbezi -Kibamba ili kupunguza msongamano wa magari wakati huo bado kuna utekelezaji wa miradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere Hydropower Project unaotazamiwa kuzalisha Megawatt 2115 na kugharimu dola za Kimarekani bilioni 2.9 mradi ambao upo chini ya kampeni ya Wamisri.Matumizi mazuri ya kodi za Wananchi ni sifa nyingine nzuri inayompambanua Rais Magufuli.
10.Rais asiyejikweza:Rais Magufuli anaonekana kama Kiongozi asiyependa anasa na matumizi mabaya ya kodi za watu anayewaongoza.Anashughulika na watu wake muda wote na hajawahi usafiri nje ya Afrika tangu aingie madarakani mwaka 2015,mara nyingi ameonekana akitembelea wananchi,akijadiliana nao na akiwasikiliza.
"Mlakimtoto Victor Paul"