Mambo 10 makubwa ya Rais wa awamu ya tano wa Tanzania

Njoo na utafiti wenye takwimu Mkuu nimehangaika sana kuandaa huo utafiti ili kujenga hoja hapo na ninachofahamu hoja hubomolewa na hoja.
Weka tafiti chini Kaka twende sawa nikushushie utafiti mwingine mpya kabisa achana na huo wa tar 1.1.2020.

Una elimu gani kama hautojali?
 
Umeanda wewe huo unaouita utafiti? Elimu yako tafadhali
Nakuona ngumbalu katika ubora wako
Huelewi kuwa data ni zao la tafiti?nani alikuambia utafiti ni mpaka uufanye wewe mwenyewe?..Mkuu unakwama wapi?
 
Wewe mleta uzi, najua you are entitled to your opinion, lakini hiki ulichoandika hapa kinachefua sana. Sijaweza kusoma mpaka mwisho,it is simply crap.
 
Wewe mleta uzi, najua you are entitled to your opinion, lakini hiki ulichoandika hapa kinachefua sana. Sijaweza kusoma mpaka mwisho,it is simply crap.
Najua huwezi kusoma na siyo utamaduni wako...kapige umbea kwenye kahawa ndicho unachoweza.
 
Mleta mada, ungekuwa ni moja ya sehemu zinazo kamilisha nyumba ya kifahari, ungekuwa ni CHOO.
Siyo tatizo lako ni madhara ya mwanaume aliyezowea umbea...jibu hoja acha personal attacks huniwezi hata kidogo labda uishie kutukana ...
 
Hapo ndiyo umejitahidi kujenga hoja?ila kuna tatizo kubwa sana kwenye kujenga hoja Nchi hii .Kijana kajifunze kuelewa hoja na kuijibu kwa hoja au kama huwezi kapige umbea kwenye vikiwa vyenu vya kahawa na majungu.
 
Siwezi kuwa mpole mkuu kwa sababu bado hawajamtendea haki. Hawakusema kuwa baada ya Mungu anafata yeye!
Hayo umeyatolea wapi? Mbona sijayaandika humo?...jaribu kuelewa ndipo ujibu usipaparike ninaamini ukisoma utaelewa tu na kizuri zaidi nimeonesha vyanzo vya taarifa.
 
Yaani tunaongelea tv ya China nchi ambayo hata dini hairuhusu!!
 
Hayo umeyatolea wapi? Mbona sijayaandika humo?...jaribu kuelewa ndipo ujibu usipaparike ninaamini ukisoma utaelewa tu na kizuri zaidi nimeonesha vyanzo vya taarifa.
Ndio nakwambia kwa nini hawakuandika na hilo? Tafiti ina mapungufu bila ya kumtambua kuwa ana cheo hicho!
 
Yaani tunaongelea tv ya China nchi ambayo hata dini hairuhusu!!
Hiyo ndiyo hoja yako au?..soma taratibu acha uvivu au umezowea kuhadithiwa hadithi za uongo vijijini Mkuu?
 
Wamesahau ujio wa sera mpya katika utawala wake ya utekaji na upigaji risasi raia wasiokuwa na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…