Si kweli maana makundi yanayoangaliwa ni haya ambayo pia sisi yamo kwenye katiba,so si sahihi kusema ni utamaduni wa nchi nyingine!Kama tumeamua kuiishi katiba yetu ya JMT basi lazima tukubali pia yaliyomo laasivyo katiba haifai kama inabakia kama maandishi! Makundi hayo niNaam.. hapa twende taratibu umekuja vizuri sasa
Kumbuka hayo makundi yamegawanywa kwa vigezo ambavyo vimewekwa na na social structure fulani inayotaka kuendeleza "status quo"..ukifanya critical discourse analysis utagundua hata hivyo vigezo ni pendeleo za watu fulanifulani tu " vested interest".
Democracy ni context bound hatuwezi kuielezea African democracy kwa context ya ulaya.Tukitumia context ya ulaya ni sahihi kusema "Hakuna demokrasia Afrika" jambo ambalo ni sawa na kusema hakuna ustaarabu wa kujisimamia katika Afrika na hivyo Afrika inahitaji kutawaliwa.
Kiuhalisia African Democracy ni tofauti sana na Demokrasia ya Nchi za ulaya.
Unatetea ujinga!Naam.. hapa twende taratibu umekuja vizuri sasa
Kumbuka hayo makundi yamegawanywa kwa vigezo ambavyo vimewekwa na na social structure fulani inayotaka kuendeleza "status quo"..ukifanya critical discourse analysis utagundua hata hivyo vigezo ni pendeleo za watu fulanifulani tu " vested interest".
Democracy ni context bound hatuwezi kuielezea African democracy kwa context ya ulaya.Tukitumia context ya ulaya ni sahihi kusema "Hakuna demokrasia Afrika" jambo ambalo ni sawa na kusema hakuna ustaarabu wa kujisimamia katika Afrika na hivyo Afrika inahitaji kutawaliwa.
Kiuhalisia African Democracy ni tofauti sana na Demokrasia ya Nchi za ulaya.
Unataka kusema Demokrasia inayopigiwa chapuo na mataifa ya magharibi ni sawa kabisa na Demokrasia ya Nchi za Magharibi?..Si kweli maana makundi yanayoangaliwa ni haya ambayo pia sisi yamo kwenye katiba,so si sahihi kusema ni utamaduni wa nchi nyingine!Kama tumeamua kuiishi katiba yetu ya JMT basi lazima tukubali pia yaliyomo laasivyo katiba haifai kama inabakia kama maandishi! Makundi hayo ni
-Muundo na utendaji wa serikali
-Mchakato wa uchaguzi wa viongozi
-Shughuli za kisiasa
-Haki za kiraia
Ukiangalia kwa makundi hayo ambayo ndiyo yanatumika ni wazi hatuna pakukwepea maana makundi yote hayo yanatambulika na katiba yetu!
Hata huyo porofesa uliyemtaja,unadhani ametumia vigezo gani kusema kuwa Tanzania imekuwa na demokrasia toka 1995?Vigezo ni hivyo hivyo!
Pia ninashangazwa kwenye hoja nyingine unatumia international data kujustify hoja zako lakini kwenye hili la democracy,unakuja na sababu za kiutamaduni kukwepa data hizo hizo kwa vigezo hivyo hivyo vya kimataifa!
Halafu kwanini data hizo hizo zilimbeba JK?Na kwanini data hizo hizo zinamuangusha JPM?
Hili ndio swali la msingi kwenye hoja yako namba 3!
Leta hoja itakayobomoa hizo takwimu na siyo hisia.Huu ujinga mnauokotaga wapi?
Jitu zima kabisa unakaa kumpamba mwanaume mwenzio ili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetea hoja basi Mkuu acha majunguUnatetea ujinga!
Ha ha ha!! Eti hakuna Walaki wajinga.Nimekupuuza kwa propaganda zako dhaifu,nawajua walaki ndio maana nasema itakuwa tu umejiita hivyo ila sio mwana ukoo huo,Walaki wako smart sana upstairs!
Mimi sijaona bado kama kuna tofauti significant!Kama hatutaki kutumia vigezo vilivyoainishwa basi tuache kabisa kutamka neno "demokrasia" maana walioliasisi walilenga kwenye hizo grounds!Tunaweza sema sisi tuna utaratibu wetu na tunauita labda "kemokrasia" na tukaweka vigezo vyetu tukawa tunajirank wenyewe!Lakini kama tunataka kusema demokrasia imeshamiri basi lazima tukubali tupimwe kwenye grounds zilizoainishwa!Unataka kusema Demokrasia inayopigiwa chapuo na mataifa ya magharibi ni sawa kabisa na Demokrasia ya Nchi za Magharibi?..
Katiba inaitambua Jamhuri ya Muungano ni Nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa ,isiyokuwa na Dini na inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Hapa tunapata picha kuwa itikadi ya Taifa ni ujamaa na kama ni hivyo Demokrasia yetu haiwezi kuwa inafanya kabisa na Demokrasia ya Nchi za Magharibi ingawa inaweza kuwa na kipengele vinavyofananafanana.
Na kufanana kwa baadhi ya vipengele hakuhalalishi kuwa Deomokrasia ya Kiafrika ni ileile ya Magharibi.
Matendo yanaambatana na itikadi na itikadi ni sawa na imani ukimkuta mtu anatenda Matendo tofauti na imani yake niangalie sana atakuwa na matatizo makubwa.Tazania ina itikadi na itikadi yenyewe ni ujamaa na kujitegemea (katiba ya JMT ya mwaka 1977 imeonesha tena mwazoni kabisa).Mimi sijaona bado kama kuna tofauti significant!Kama hatutaki kutumia vigezo vilivyoainishwa basi tuache kabisa kutamka neno "demokrasia" maana walioliasisi walilenga kwenye hizo grounds!Tunaweza sema sisi tuna utaratibu wetu na tunauita labda "kemokrasia" na tukaweka vigezo vyetu tukawa tunajirank wenyewe!Lakini kama tunataka kusema demokrasia imeshamiri basi lazima tukubali tupimwe kwenye grounds zilizoainishwa!
Halafu haya mambo yanaibuka sana awamu hii kutetea utawala unavyokandamiza watu,miaka kadhaa nyuma tulikuwa hatuna mijadala sana juu ya demokrasia maana tulikuwa vizuri kwa kiasi chake!Ni ajabu sana mtu akisema moja ya mafanikio ya JPM ni pamoja na kushamiri kwa demokrasia,watu watakucheka!Hivi tumeboreka kidemokrasia kuliko kipindi cha JK?Hatuwezi kusema demokrasia imeimarika kwa kuangalia mataifa ambayo yana matatizo Africa,tunapaswa kufanya tathimini kwa kuangalia tulipokuwa tumefikia na sasa tulipo!
Katika mafanikio ya awamu ya 5,demokrasia si mojawapo!Hapo tumekwama!Nataka tukubaliane kwanza hili ili nihamie kwenye hoja nyingine ulizotaja!
Teh..teh..teh...Mkuu kwanza habari za siku nyingiHa ha ha!! Eti hakuna Walaki wajinga.
Mkuu huyu Mlaki yupo smart sema ameamua kutetea ujinga. Namjua kwa kuangalia avatar yake bila shaka amemaliza UD 2010.
Mlaki umeanza lini ujinga? Au unafukuzia uteuzi mate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujajibu maswali Mkuu.Swali ulilouliza halina uhusiano na nilichoandika ndiyo maana nimekujibu tofauti na ulivyotaka..ulipaswa uishambulie hoja uliyoiona dhaifu kwa kutumia hoja yako uliyoona ina nguvu zaidi
Unaniuliza elimu yangu "so what" ..logically hii ni fallacy "argumentum ad hominem"..na ndiyo tatizo kubwa tullilonalo wengi.
Kama umeichukia hoja onesha ubaya wake kwa hoja na siyo dharau au kejeli kwa mtoa hoja.
Kwani uliniuliza swali au uliandika vijembe?andika swali uone kama sitokujibuBado hujajibu maswali Mkuu.
Kwani itikadi ya ujamaa na kujitegemea imekuja tu awamu hii?Mbona mnalazimisha sana tuone vitu ni vipya?Wala tusipige chenga sana,twende kwenye mambo ambayo yanadhihirisha wazi kwamba demokrasia yetu imeyumba sana kipindi hiki cha JPM kuliko cha JK!Halafu tukitaja hayo mambo tuone kama ndiyo matakwa ya itikadi ya ujamaa na kujitegemea unayokomalia!Matendo yanaambatana na itikadi na itikadi ni sawa na imani ukimkuta mtu anatenda Matendo tofauti na imani yake niangalie sana atakuwa na matatizo makubwa.Tazania ina itikadi na itikadi yenyewe ni ujamaa na kujitegemea (katiba ya JMT ya mwaka 1977 imeonesha tena mwazoni kabisa).
Demokrasia yetu inakisi itikadi ya ujamaa na kujitegemea na kuipima tunapaswa pamoja na yote tuangalie inawakilisha vipi misingi ya ujamaa na kujitegemea? Na hapa ndipo panaponipa uhalali wa kutofautisha Demokrasia tunayoambiwa hatuna na Demokrasia yenye misingi ya itikadi yetu.
Hushangai unaposikia mathalani IMF na World Bank wanavyoonesha takwimu kuwa uchumi wa Tanzania umeshuka na huku vipimo vya ndani vinaonesha umekua?....(the issue there is criteria used and the reason behind)..
NgumbaluUmeanda wewe huo unaouita utafiti? Elimu yako tafadhali