Katibu mtendaji
JF-Expert Member
- Feb 14, 2015
- 700
- 244
Huyu mzee kweli anaweza kuwa teja.Mimi nnaongelea uteja wa madawa.
Na kipengele nilichokiweka ni cha afya.
Hiyo ya "madaraka" ni nani duniani asiyetaka kuwa na madaraka kwenye shughuli zake? - Labda ni wewe pekee.
Mtetezi wa mafisadi upo? Mwaka huu kiukweli kamwe hatuwezi kudanganyika jipangeni kivingine.We mleta mada ni sawa na nyoka tafuta pesa na wewe ukusanye watu kama edo otherwise wewe ni kinyesi cha nape
Kilicho nivutia watu wengi wenye asili ya kaskazini walikuwa wakisema hawaipendi ccm na walikuwa wakijinasibu kwa vyama vya ukawa leo baada ya mkutano wa luwasa wamerudi ccm na kumsifia sanaa luwasa.
Kumbe walikuwa ukawa ukawa kwa mkopo leo wamerudi chama lao zamani.
Marais wapo wa aina nyingi hata Rais wa mafisadi naye rais nafasi ambayo Lowasa itamfaa zaidi.Lowasa ni rais hata mkifanya fitna
Lowasa ni rais hata mkifanya fitna
Kwa jinsi nilivyoona advertise ya Lower Sir jana wengi waliopania kutangaza nia itabidi wajipime upya kwani muziki wa jana haukuwa lelemama. Kigwangala, makamba,sita, mwigulu membe etc wataingiwa na woga sana.
Mimi ningeshauri lower Sir angekuwa wa mwisho ili na wenzake wapate vifua kusimama jukwaani.
Hayo mawazo yako mkuu.Kwa jinsi nilivyoona advertise ya Lower Sir jana wengi waliopania kutangaza nia itabidi wajipime upya kwani muziki wa jana haukuwa lelemama. Kigwangala, makamba,sita, mwigulu membe etc wataingiwa na woga sana.
Mimi ningeshauri lower Sir angekuwa wa mwisho ili na wenzake wapate vifua kusimama jukwaani.
Ukiwa na upeo mdogo wa kuchambua mambo lazima ukubaliane naye tu.Hata mimi nakubaliana na wewe
Kama watanzania hasa wasomi, tujifunze kufanya utafiti hapo kidogo kabla ya ku present any issue wheather it is for, or against especially if it is somebodys willing and desire katika kuomba ridhaa. Hata tukimuhukumu mtu ingawa si vema Sana lkn Kama Kuna ulazma WA kumhukumu basi tujitahidi kuwa WA kweli zaidi Na zaidi. Kwa maneno uloandika kuhusu Lowasa mengi hujamtendea haki kabsa, suala la bifu kalikana toka siku anaanza Dodoma, pale alikuwa anaelezea Profile yake Kama Mgombea, kazi ndan Na nje Chama alizozifanya, suala la afya sijamchunguza vizuri, ila vingine hujamtendea haki kabsa, hata kwa Mungu wako Na kwa Iman yako try to be the righteous one. Katika suala la kumchambua mtu si zuri, ila Kama Ni kuchambua tuchambue kazi za mtu, Na sifa za mtu Na uwezo wake kiafya, kiakili n.k so guys lt us be objective not too much subjective be realistic not too much Idealistic.thanks
Kwani hujamsikia jana akigusia Rasimu ya Warioba inayoongelea mgombea binafsi?Kuna SIFA ZA MTU Wanayemtaka CCM awe Rais, LOWASSA hana sifa hata moja. unless uniambie atajiteua???