Mambo 10 Niliyoyaona Leo huku Kocha Fahdu akiipeleka fainali Stellenbosch

Hao madogo wasioshambulia kolo akiahindwa kuwadunga basi nae ni mbovu wa mwisho
 
Nikadhani unajua mpira na sheria zake kumbe bure kabisa,unalaumu kocha kutomtoa Ahoua baada ya kuomba sub wakati subs zilikuwa zimeisha.
 
Mihemko mibaya sana, Je angetoa sare ingekuwaje? Big up coach
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.

2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa

3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari

4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub

5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji

6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake

7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu

8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars

9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake

10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
 
1.Nikweli kwa nafasi walizokosa Mutale , Ateba, Ahoua kwa akili ya chama yale ni magoli, wachezaji hawa kuna namna wanakosa kufikiri vizuri.
2.Usilaumu ngoma kuto fanyiwa sub pengine angetoka goli lingerudi, hajafanya vibaya.
3.Hata wewe hizo sub zako pengine zisingefanya chochote maana hakuna uhakika. Chasambi, Balua hawana tofauti sana na Mutale. Labda angejaribu Awesu kwa Ahoua.
4.Mpira sio riadha kwamba wachezaji wote wawe na spidi .Hakuna kocha ambae angewaweka benchi Chamou na Hamza, kwa akili yako nani acheze ataku offer hizo spidi unazotaka na ulinzi?
5.Hapa kweli kocha kakosea. Hata dk ya 60 Ahoua alitakiwa atoke. Humuoni kukaba , humuoni kutengeneza movement za hatari. Hana kiwango cha kuchezea simba labda abadilike.
6.Ni kweli kibu angebaki alifanya vizuri kuliko Ahoua aliemaliza dk 90. Sijui makocha sometime wanafikiri vil?
7.Mpanzu hajichoshi ni kazi yake na kuondoka ni sehemu ya maisha ya mpira
8.Sasa mchezaji wa singida angeingiaje leo? Kama ni usajili subiri dirisha la usajili pengine ataletwa mzuri zaidi kuzidi hao wote wawili.
9.Mpira dk 90, simba inaweza kushinda south.
10.Akupishe wewe na nani? Huyo ni kocha wa simba na mechi ijayo ataongoza timu au umetumwa na Matola(joke)
 
Simba akifuzu itakuwa ni uzembe wa wapinzani,,wale jamaa usidhani wakiwa pale kwao watacheza mfumo ule ule wa kujilinda sana,,kule awatokuwa na cha kupoteza watapeleka moto mwanzo mwisho na apo ndipo utakapoona zile beki nzito kama magunia ya mahindi zitavyotoa maboko🤣
Stella humna timu hapo.mbwembwe tu lazima wakae huko south kwao
 
Kocha fadlu ni kama anatumia uzalendo kwa taifa lake kutuhujumu, najiuliza kwanini alimlazimisha Ahoua aendelee kucheza wakati Ahoua aliumia na kuomba kutoka mwenyewe.
Mikupuo mitatu ya kufanya sub iliisha alipoingia Ateba tu

Ndo maana Fadlu akamwambia Ahoua amalize gemu sub hakuna tena

Tukumbuke walioingia Sub ni:
Mkupuo wa kwanza (Nouma na Mutale)
Mkupuo wa pili (Mavambo)
Mkupuo wa tatu&mwisho ( Ateba)
 
Mimi shabiki wa Yanga. Hivi tunaangalia mpira tofauti au ni vipi. Simba mbona wamecheza vizuri tu. Huwezi mfananisha mchezaji fulani angekuepo na wakati huo hayupo kwenye timu. Huyo Chama si ndio alikua anaishia robo au?
Kwa mtazamo wangu meechi bado ni 50/50 kwa sababu hata wale jamaa washambuliaji hawana.
Kuhusu Ahoua huyo jamaa ni mchezaji acheni masikhara. Hata hol goli mlilopata limetokea kwake. Sub ya Kibu sikuelewa hata mimi.
Mwisho ACHENI UJUAJ ZAMALEK KACHEZA DAKIKA 180 HAKUPATA HATAGOLI, NYIE DAKIKA 90 MMEPATA GOLI MNALALAMIKA. MLITAKA KUSHINDA MAGOLI 7 KWANI BIG MAN WALE?
 
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.

2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa

3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari

4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub

5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji

6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake

7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu

8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars

9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake

10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
Tupunguze mihemko. Mada zingine za kisng
 
Point no 8 Unamzungumzia Sowah kwani ni mchezaji wa Kolo, zungumzia vimeo vyenu
 
Unadhani wao ni wajinga subilia 2nd leg uyo mpanzu wako atageuka beki badala ya kushambulia,,mfumo waliokuja nao ugenini kuiheshimu Simba na kucheza kwenye mid block ndio umewafanya Simba waonekane wanacheza, na Unapokuwa ugenini ni lazima umuheshimu mwenyeji wako kwanza!
Ramli
 
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.

2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa

3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari

4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub

5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji

6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake

7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu

8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars

9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake

10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
msingemtoa huyo Sowah kwa mkopo basi
 
Unadhani wao ni wajinga subilia 2nd leg uyo mpanzu wako atageuka beki badala ya kushambulia,,mfumo waliokuja nao ugenini kuiheshimu Simba na kucheza kwenye mid block ndio umewafanya Simba waonekane wanacheza, na Unapokuwa ugenini ni lazima umuheshimu mwenyeji wako kwanza!
chuki tusiwasikie mkisema kwamba wasauzi ni underdog
 
kumtaja chama umeharibu hoja zako zote na kuonekana utopolo.
HAO WALIOKUWEPO NDO WETU
 
Back
Top Bottom