Mambo 10 Niliyoyaona Leo huku Kocha Fahdu akiipeleka fainali Stellenbosch

1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.

2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa

3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari

4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub

5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji

6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake

7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu

8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars

9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake

10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
Baada ya kusoma hoja ya kwanza tu, nimeacha kusoma maana umeandika utopolo mtupu
 
kuacha hata kukosa goli mwishoni ahoua anacheza mpira wa kitoto sana. tusipofuzu binafsi lawama zangu ni 50% ahoua 30% kocha 20% rest of the team players. huyu jamaa ukimfuatilia mambo yake kwa makini uwanjani mwanzo mwisho ana utoto utoto sana ( Yani mambo ambayo amateur leagues u17 huko wanafanya ndio amajaza kichwani , binafsi ananiboa sana).
 
Pamoja na mapungufu yote ya Simba leo kwenye kutumia nafasi lakini wanapaswa kupewa pongezi kwa kupata goli moja bila. Ukizingatia hao wasouth itabidi wacheze kwa tahadhari sana mechi ijayo kwani ikitokea Simba wamepata goli moja ugenini basi hao jamaa itakuwa mlima mkubwa sana kwao. Na pia wapenzi wa mpira wakumbuke hao wasouth sio warahisi kama watu wanavyowachukulia poa kwani Zamaleki ya Misri ambayo ni mojawapo ya timu kigogo Afrika kashindwa kupata hata goli moja nyumbani achilia mbali ugenini mpaka katolewa kwenye mashindano..
Mapungufu makubwa sana ya Simba yapo kwenye umaliziaji. Nafasi walizokosa Ateba, Ahoua na Mutale zilikuwa zinamaliza kabisa mechi hapa hapa Dar na mechi ya marudiano ingekuwa ni ya kukamilisha ratiba tu. Mutale sijui anabebwa na kocha au kuna kiongozi anashinikiza apangwe. Maana hata benchi hatakiwi kabisa kuwepo huyo anatakiwa acheze shirikisho ya CRDB tu hata ligi kuu hana uwezo wa kucheza imeshamshinda sasa sijui benchi la ufundi linang'ang'ani nini kwani hata kitendo cha kumweka kwenye listi ya wachezaji wa akiba ni matumizi mabaya ya nafasi na ni kashfa kwa wachezaji wengine wenye uwezo zaidi yake. Na msimu ukiisha auzwe haraka sana au atolewe mkopo ili Fadlu na benchi lake ufundi wasiwe wanamuona wakati wanapanga listi ya wachezaji wanaonza. Muda anaopewa uwanjani huyo Mutale wenu wangepewa wazawa vijana Chasambi, Balua au Kusengama sasa hivi wangekuwa na uzoefu wa kutosha na wangeisaidia sana Simba.
Chamou ni shujaa asiyeimbwa pale Simba pamoja na mapungufu yake ya kasi lakini mpaka sasa ameisadia sana Simba kipindi ambacho Che Malone ni majeruhi. Ukiacha mapungufu yake kasi jamaa amewasaidia sana Simba kwenye mipira ya juu, hana pasi mkaa tatanishi pamoja na zile "moments za one v one" anajua kuutumia mwili wake vizuri sana. Lakini pamoja na mazuri mengi bado wengi wameacha kuyazungumzia hayo mazuri bali wamejikita kuzungumzia mapungufu yake ya mbio uwanjani japo mwenyewe anajitahidi ya kuyaficha kwa kukaa kwenye nafasi vizuri. Mimi binafsi nampa pongezi zake.
Benchi la ufundi la Simba pamoja na washambuliaji wao wa kati nitawalaumu sana kwa sababu wameshindwa kutumia uwezo binafsi wa Mpanzu kutengeneza magoli. Mpanzu amekuwa na kasi kubwa lakini washambuliaji wa kati wa Simba pamoja na benchi la ufundi wameshindwa kumsoma na kumwelewa Mpanzu japokuwa ameshacheza mechi nyingi mpaka sasa. Mimi leo ukinisajili kama mshambuluaji wa kati pale Simba nitakuwa mfungaji bora japokuwa sijui kucheza mpira vizuri lakini ni kwa sababu tu nimeshajua Mpanzu anachezaje na niendeje na kasi yake wakati anapokuwa na mpira pembeni ya goli. Krosi nyingi za Mpanzu ni krosi dongo za chinichini na zinaenda sehemu mbili kuna wakati anapeleka pale pale katikati kwa kipa au wakati mwingine anapiga V ndani sita. Kwa mshambulaiji mzuri au benchi la ufundi lenye kujua tabia binafsi za wachezaji wao basi wakati Mpanzu anakwenda pembeni basi mshambuliaji wakati anatakiwa awe mstari mmoja na Mpanzu na ahakikishe beki wa kati wa timu pinzani amweka mgongoni mwake na sio awe mbele yake, namba kumi anatakiwa awe sehemu ya kupigia penalti na winga au beki wa Simba wa upande mwingine anatakiwa awe katikati ya nyuzi 90 za boksi kubwa na na boksi dogo. Wakicheza hivyo mara tatu kosa kosa lazima wapate walau goli moja.
Ahoua ni bonge la mchezaji lakini anapofeli ni ubinafsi na kuchelewa kuachia mipira. Na kuna wakati anzubaa na mpira kiasi unaona kuna wakati ubongo wake na miguu yake vinakosa mawasiliano. Lakini ikitokea Ahoua akawepo Simba miaka miwili/mitatu ijayo nina hakika atakuwa hashikiki. Kwa sasa Ahoua ataendelea kupata sana lawama pale Simba kwa sababu watu wanamlinganisha jinsi anavyocheza na jinsi Chama alivyokuwa anacheza na kuibeba Simba mabegani mwake. Lakini wanasahau kuwa wakati Chama anafika Tanzania alikuwa tayari ana miaka 28 akliwa amekomaa kiakili na kimaamuzi uwanjani. Huyo Ahoua bado anaendelea kukua na atafika kwenye kilele miaka miwili/mitatu ijayo. Kwa sasa ili Simba ipate matokeo inayotaka ni lazima isajili namba 10 mwingine "matured" na huyo Ahoua awe "backup" ya huyo namba 10 mwingine. Vinginevyo kumtegemea Ahoua ndio aipe Simba matokeo/mafanikio mtampa lawama kila siku bila kuelewa tatizo nini. Ni basi tu Chama aliwakera sana wapenzi wengi sana wa Simba vinginevyo angerudishwa apewe mkataba wa miaka kama miwili wakati Ahoua anajifunza kwake na anakuwa kiakili na kimaamuzi uwanjani kwani hata ukiangalia mechi ya jana zile dakika 20 za mwisho zilimhusa sana Chama.
Ateba nimpe pole yake kwani alianza vizuri sana Simba akawa kipenzi cha mashabiki na wapenzi wa Simba huku jina lake likiimbwa kila kona na wanasimba. Lakini maajabu kila siku muda unavyozidi kwenda Ateba kawa anazidi kuwa mtori kabisa. Ni vyema badala ya kupaniki maana anazidi kuwa kituko uwanjani akae chini atulize akili ili aweze kujua anakosea wapi. Vinginevyo huyo Ateba akiendela hivi alivyo sasa anakwenda kupotea kabisa kama mwenzake Mutale na akifika hapo alipofika Mutale kurudi kuwa sawa kama zamani itakuwa majaliwa na mwisho wa siku panga litamhusu mwishoni mwa ligi.

Yote kwa yote bado haijaisha mpaka iishe cha msingi Simba wajipange tu kwa dakika 90 za moto pale Afrika Kusini. Na kwa hili sio geni kwao Simba kwani wameshakutana na dakika 90 za moto pale Congo, Misri, Morocco na hata huko Afrika Kusini kwenyewe. Na uzuri safari hii Fadlu ndio mwenyji wao. Kikubwa tu Fadlu na bechi lote la ufundi wakumbushwe namna nzuri ya kufanya "sub" na zifanywe kwa wakati sio mpaka kutokee madhara ndio wakurupuka matokeo yake wanaharibu.

Ni mtizamo tu.
 
Huyo Chama uliyesema anahitajika amecheza Robo fainali ngapi na kufikia wapi? Ahoua je?
 
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.

2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa

3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari

4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub

5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji

6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake

7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu

8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars

9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake

10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
Naunga mkono hoja. Unamuingiza Mutale badala ya Chasambi??
 
Pamoja na mapungufu yote ya Simba leo kwenye kutumia nafasi lakini wanapaswa kupewa pongezi kwa kupata goli moja bila. Ukizingatia hao wasouth itabidi wacheze kwa tahadhari sana mechi ijayo kwani ikitokea Simba wamepata goli moja ugenini basi hao jamaa itakuwa mlima mkubwa sana kwao. Na pia wapenzi wa mpira wakumbuke hao wasouth sio warahisi kama watu wanavyowachukulia poa kwani Zamaleki ya Misri ambayo ni mojawapo ya timu kigogo Afrika kashindwa kupata hata goli moja nyumbani achilia mbali ugenini mpaka katolewa kwenye mashindano..
Mapungufu makubwa sana ya Simba yapo kwenye umaliziaji. Nafasi walizokosa Ateba, Ahoua na Mutale zilikuwa zinamaliza kabisa mechi hapa hapa Dar na mechi ya marudiano ingekuwa ni ya kukamilisha ratiba tu. Mutale sijui anabebwa na kocha au kuna kiongozi anashinikiza apangwe. Maana hata benchi hatakiwi kabisa kuwepo huyo anatakiwa acheze shirikisho ya CRDB tu hata ligi kuu hana uwezo wa kucheza imeshamshinda sasa sijui benchi la ufundi linang'ang'ani nini kwani hata kitendo cha kumweka kwenye listi ya wachezaji wa akiba ni matumizi mabaya ya nafasi na ni kashfa kwa wachezaji wengine wenye uwezo zaidi yake. Na msimu ukiisha auzwe haraka sana au atolewe mkopo ili Fadlu na benchi lake ufundi wasiwe wanamuona wakati wanapanga listi ya wachezaji wanaonza. Muda anaopewa uwanjani huyo Mutale wenu wangepewa wazawa vijana Chasambi, Balua au Kusengama sasa hivi wangekuwa na uzoefu wa kutosha na wangeisaidia sana Simba.
Chamou ni shujaa asiyeimbwa pale Simba pamoja na mapungufu yake ya kasi lakini mpaka sasa ameisadia sana Simba kipindi ambacho Che Malone ni majeruhi. Ukiacha mapungufu yake kasi jamaa amewasaidia sana Simba kwenye mipira ya juu, hana pasi mkaa tatanishi pamoja na zile "moments za one v one" anajua kuutumia mwili wake vizuri sana. Lakini pamoja na mazuri mengi bado wengi wameacha kuyazungumzia hayo mazuri bali wamejikita kuzungumzia mapungufu yake ya mbio uwanjani japo mwenyewe anajitahidi ya kuyaficha kwa kukaa kwenye nafasi vizuri. Mimi binafsi nampa pongezi zake.
Benchi la ufundi la Simba pamoja na washambuliaji wao wa kati nitawalaumu sana kwa sababu wameshindwa kutumia uwezo binafsi wa Mpanzu kutengeneza magoli. Mpanzu amekuwa na kasi kubwa lakini washambuliaji wa kati wa Simba pamoja na benchi la ufundi wameshindwa kumsoma na kumwelewa Mpanzu japokuwa ameshacheza mechi nyingi mpaka sasa. Mimi leo ukinisajili kama mshambuluaji wa kati pale Simba nitakuwa mfungaji bora japokuwa sijui kucheza mpira vizuri lakini ni kwa sababu tu nimeshajua Mpanzu anachezaje na niendeje na kasi yake wakati anapokuwa na mpira pembeni ya goli. Krosi nyingi za Mpanzu ni krosi dongo za chinichini na zinaenda sehemu mbili kuna wakati anapeleka pale pale katikati kwa kipa au wakati mwingine anapiga V ndani sita. Kwa mshambulaiji mzuri au benchi la ufundi lenye kujua tabia binafsi za wachezaji wao basi wakati Mpanzu anakwenda pembeni basi mshambuliaji wakati anatakiwa awe mstari mmoja na Mpanzu na ahakikishe beki wa kati wa timu pinzani amweka mgongoni mwake na sio awe mbele yake, namba kumi anatakiwa awe sehemu ya kupigia penalti na winga au beki wa Simba wa upande mwingine anatakiwa awe katikati ya nyuzi 90 za boksi kubwa na na boksi dogo. Wakicheza hivyo mara tatu kosa kosa lazima wapate walau goli moja.
Ahoua ni bonge la mchezaji lakini anapofeli ni ubinafsi na kuchelewa kuachia mipira. Na kuna wakati anzubaa na mpira kiasi unaona kuna wakati ubongo wake na miguu yake vinakosa mawasiliano. Lakini ikitokea Ahoua akawepo Simba miaka miwili/mitatu ijayo nina hakika atakuwa hashikiki. Kwa sasa Ahoua ataendelea kupata sana lawama pale Simba kwa sababu watu wanamlinganisha jinsi anavyocheza na jinsi Chama alivyokuwa anacheza na kuibeba Simba mabegani mwake. Lakini wanasahau kuwa wakati Chama anafika Tanzania alikuwa tayari ana miaka 28 akliwa amekomaa kiakili na kimaamuzi uwanjani. Huyo Ahoua bado anaendelea kukua na atafika kwenye kilele miaka miwili/mitatu ijayo. Kwa sasa ili Simba ipate matokeo inayotaka ni lazima isajili namba 10 mwingine "matured" na huyo Ahoua awe "backup" ya huyo namba 10 mwingine. Vinginevyo kumtegemea Ahoua ndio aipe Simba matokeo/mafanikio mtampa lawama kila siku bila kuelewa tatizo nini. Ni basi tu Chama aliwakera sana wapenzi wengi sana wa Simba vinginevyo angerudishwa apewe mkataba wa miaka kama miwili wakati Ahoua anajifunza kwake na anakuwa kiakili na kimaamuzi uwanjani kwani hata ukiangalia mechi ya jana zile dakika 20 za mwisho zilimhusa sana Chama.
Ateba nimpe pole yake kwani alianza vizuri sana Simba akawa kipenzi cha mashabiki na wapenzi wa Simba huku jina lake likiimbwa kila kona na wanasimba. Lakini maajabu kila siku muda unavyozidi kwenda Ateba kawa anazidi kuwa mtori kabisa. Ni vyema badala ya kupaniki maana anazidi kuwa kituko uwanjani akae chini atulize akili ili aweze kujua anakosea wapi. Vinginevyo huyo Ateba akiendela hivi alivyo sasa anakwenda kupotea kabisa kama mwenzake Mutale na akifika hapo alipofika Mutale kurudi kuwa sawa kama zamani itakuwa majaliwa na mwisho wa siku panga litamhusu mwishoni mwa ligi.

Yote kwa yote bado haijaisha mpaka iishe cha msingi Simba wajipange tu kwa dakika 90 za moto pale Afrika Kusini. Na kwa hili sio geni kwao Simba kwani wameshakutana na dakika 90 za moto pale Congo, Misri, Morocco na hata huko Afrika Kusini kwenyewe. Na uzuri safari hii Fadlu ndio mwenyji wao. Kikubwa tu Fadlu na bechi lote la ufundi wakumbushwe namna nzuri ya kufanya "sub" na zifanywe kwa wakati sio mpaka kutokee madhara ndio wakurupuka matokeo yake wanaharibu.

Ni mtizamo tu.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Pumbavu kweli hao wakina chama mbona walishindwa kuivusha club quarterfinal miaka yote hile mpaka club inaitwa mwaka robo. Pia kumbuka simba wapo katika ujenzi wa team yenye ushindani na still ni msimu wa kwanza wachezaji wapo pamoja
 
Kocha fadlu ni kama anatumia uzalendo kwa taifa lake kutuhujumu, najiuliza kwanini alimlazimisha Ahoua aendelee kucheza wakati Ahoua aliumia na kuomba kutoka mwenyewe.
Sub ziliisha
 
Hivi wewe miss Bantu walikutimua baada ya kuona una delicious 😹

Sasa wewe na mkia huo kwa akili zako kabisa ulijua utapenya kwa wenye mbususu??
Umezaliwa Mwanaume unajifanya mwanamke. Kuwa shoga kuna kusaidia nini? Au unataka sisi wanaume wa JF siyo wote mafala. Tunajua wewe mwanaume ila siyo riziki. Utahangaika sana ila kizuri tunakuumbua. Hata mwandiko wako unaonesha ni mwanaume umeshindwa kuigiza uanamke. Tatizo njaa inakufanya uone ukiwa Mwanamke angalau utapata pata kitu. Hutupati.
 
Imekuuma mpk unaandika magazeti na kuyarudia?? 😹😹😹

Hivi ukifika kileleni huwa una 💩 au unafanyaje?
 
Watanzania wanajifanya wanajua sana mpira japo hawajui chochote.
 
Kuna Watu hata hamueleweki mnataka nini.Hivi tungekuwa tumepoteza hiyo mechi ungeandika nini?.
 
Back
Top Bottom