Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Goli moja la stellen alilolitumia kumtoa zamalek ndo hilo hilo linamtoa nusu fainali game ya mwisho ni nyau nyau
1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.
2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa
3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari
4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub
5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji
6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake
7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu
8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars
9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake
10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
Kocha fadlu ni kama anatumia uzalendo kwa taifa lake kutuhujumu, najiuliza kwanini alimlazimisha Ahoua aendelee kucheza wakati Ahoua aliumia na kuomba kutoka mwenyewe.
Kila siku hua tunasema ahuwa ni mchezaji mbovu sanaa inaonekana sijui tuna chuki binafsi na yule jamaa ubunifu zero,kufungua defence ya timu pinzani zero,ubinafsi mwingi katika mipira mitano anayopata ahoua mitatu lazima apoteze,mlaini uwanjani yani Dah na Leo tena
Kama msuli ulikua unasumbua alishindwa vipi kutoa pasi sijui watu wengine hua mnaangalia mpira wa sayari gani
Nazidi kupata sababu kwa nini Simba walikimbia tarehe 8. Hii timu haitaweza kuwatoa hao Wa Afrika Kusini.1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana.
2. Mechi imeharibiwa na kocha wetu, najua ule ucheleweshaji wa mpira uliokuwa ukifanywa na kipa wetu ulikuwa wa kimkakati sana lakini kuwaacha wachezaji kama Ngoma na Mukwala waliokosa spidi u alikuwa Makosa makubwa
3. Joshua Mutale kwa sababu anafanya vzr CRDB basi umeona anaweza kuibeba timu, kwann basi usimuamini Chasambi au Balua au Awesu kama ulitaka kucheza kamari
4. Ngoma hana spidi, Chamou hana spidi, Ahoua hana spidi, Hamza hana spidi, bado hutaki kufanya sub
5 Ahoua ameumia amekuomba atoke we unamlazimisha utadhan nje hakuna wachezaji
6. Sikuona sababu yoyote ya kumtoa Kibu sana sana Fahdu amewazawadia tu wasauzi wenzake
7 Elie Mpanzu atachoka mwisho atatukimbia maana anaona anajichosha tu
8 Huyo Mukwala tunayemlilia aanze hamfikii hata chembe Jonathan Sowah wa Singida Big Stars
9 Fahdu amewapeleka fainali wasauzi wenzake
10 Fahdu atupishe mechi ijayo kule sauzi otherwise shughuli itakuwa pevu kule ugeninj
Wachambuzi wa vibanda umiza hao.vumilia.Nikadhani unajua mpira na sheria zake kumbe bure kabisa,unalaumu kocha kutomtoa Ahoua baada ya kuomba sub wakati subs zilikuwa zimeisha.
Hapo umedanganya sub ziliishaje wakat ni Tano?.Nikadhani unajua mpira na sheria zake kumbe bure kabisa,unalaumu kocha kutomtoa Ahoua baada ya kuomba sub wakati subs zilikuwa zimeisha.
Waliona mbali ikabidi wakimbilie porini🤣🤣Nazidi kupata sababu kwa nini Simba walikimbia tarehe 8. Hii timu haitaweza kuwatoa hao Wa Afrika Kusini.
Hio Tim inayoisumbua Simba yaani Ndio mara ya Kwanza anafika hapa alipo tangu alipoanzishwa 2016 ,,Ila wanazocheza kama Wana experienceMbona mapema sana,Mimi nadhani Simba angeruhusu bao angekuwa na wakati mgumu zaidi,lakini bado Simba bado ana nafasi
Mpanzu mfano akifika nje ya box katika Mipira mi5 mi4 anapiga at least kibu ana teamworkMim naona Simba imeamua kuishia kwenye ndoto za nusu fainali, n watatamba sana. Binafsi mim sijafurahishwa na matokeo, na Aina ya mpira tunaocheza, Ateba siyo streka, huyu Ahoua ndo kabisa akili yake haijakomaa.
Huyu mpanzu na kibu sijui Kama watatosha kutubeba.
Labda fainali ya miss bantuSura Yako utaiweka wapi tarehe 27 Mnyama akiingia final
Kwanza ana faida ya nafasi ya kufunga goli la ugenini kitu ambacho stella.. wameshindwa na pili anaongoza goli moja tayari.Simba ana nafasi kubwa ya kufuzu( hii watanielewa watu wenye jicho la mpira) but kocha fadlu ajitathimini sana.
wewe mwenye timu uko wapiHamna timu kolo
Kumbe kuna watu bado mnasikiliza mpira kwenye redio ,hivi mkuu ulishawahi kuangalia mpira hata kwenye TVKila siku hua tunasema ahuwa ni mchezaji mbovu sanaa inaonekana sijui tuna chuki binafsi na yule jamaa ubunifu zero,kufungua defence ya timu pinzani zero,ubinafsi mwingi katika mipira mitano anayopata ahoua mitatu lazima apoteze,mlaini uwanjani yani Dah na Leo tena
Kama msuli ulikua unasumbua alishindwa vipi kutoa pasi sijui watu wengine hua mnaangalia mpira wa sayari gani
Tuna kocha matope hafai