Mambo 10 Niliyoyaona Leo huku Kocha Fahdu akiipeleka fainali Stellenbosch



Nyie ndio mashabiki ambao mnashabikia msichokijua

Sabu zimeisha ulitaka Ahoua awe nje then ndani tuwe pungufu?
 
Kocha fadlu ni kama anatumia uzalendo kwa taifa lake kutuhujumu, najiuliza kwanini alimlazimisha Ahoua aendelee kucheza wakati Ahoua aliumia na kuomba kutoka mwenyewe.

Sab zilikua zimeisha nyie watu mnajua mpira kweli?
 



Pasi kwa nani?
Ateba alikuwa offside
 
Nazidi kupata sababu kwa nini Simba walikimbia tarehe 8. Hii timu haitaweza kuwatoa hao Wa Afrika Kusini.
 
Acha ujuaji aisee... Simba SC leo imefanya kila juhudi na imecheza vizuri sana. Kila mchezaji amepambana sana lakini unapaswa kutambua hiyo ni Nusu fainali sio rahisi kabisa. Mpinzani huyo wa Simba unayemdharau alimtoa Mwarabu ugenini na anashika namba 4 ligi ya Sauzi na aliwafunga Orlando Pirates ambao wako semi final Champions league, pia alimsumbua Mamelodi.

Stellenbosch ni wazuri Sana kwenye ulinzi na leo tumeliona Hilo, wamejitahidi Sana kulinda... Licha ya Simba kuwa na on target tano. Kuhusu Ahoua ni mchezaji wa kawaida Ila ana impact kwenye baadhi ya matukio muhimu... Shida watu wameweka matarajio makubwa kwake. Awe Kama chama au Fei Jambo ambalo si sahihi... I think atazidi ku improve zaidi msimu ujao... Na ndio kaamua mechi ya leo kwa goli lake.
 
Unachambua mechi ya leo unawazungumzia wachezaji ambao hawapo Simba wapo Yanga na Singida.
 
Mosepe tunataka timu zetu zote 3 za south Africa zitinge fainali, Orando pirates na mamelod wanacheza ugenini lakini Stellenbosch anacheza nyumbani hivyo wembe ni ule ule inatakiwa wavuke hatua inayofata iwe isiwe ni zamu yao kufaidika na home ground
 
Nikadhani unajua mpira na sheria zake kumbe bure kabisa,unalaumu kocha kutomtoa Ahoua baada ya kuomba sub wakati subs zilikuwa zimeisha.
Hapo umedanganya sub ziliishaje wakat ni Tano?.
Aliingia Nan na Nan had useme sub ziliisha.
Maana kaingia nouma kaingia mutale na mavambo ateba ,kwann unadanganya umma
 
Mbona mapema sana,Mimi nadhani Simba angeruhusu bao angekuwa na wakati mgumu zaidi,lakini bado Simba bado ana nafasi
Hio Tim inayoisumbua Simba yaani Ndio mara ya Kwanza anafika hapa alipo tangu alipoanzishwa 2016 ,,Ila wanazocheza kama Wana experience
 
Mpanzu mfano akifika nje ya box katika Mipira mi5 mi4 anapiga at least kibu ana teamwork
 
Simba ana nafasi kubwa ya kufuzu( hii watanielewa watu wenye jicho la mpira) but kocha fadlu ajitathimini sana.
Kwanza ana faida ya nafasi ya kufunga goli la ugenini kitu ambacho stella.. wameshindwa na pili anaongoza goli moja tayari.

Kitu ambacho nakiona kinaihukumu simba ni expectations za mashabiki simba kushinda kwa goli nyingi,kitu ambacho sio rahisi kwa stage hii.
Binafsi naiona simba ikicheza final
 
Kumbe kuna watu bado mnasikiliza mpira kwenye redio ,hivi mkuu ulishawahi kuangalia mpira hata kwenye TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…