Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili

2. Yussuf Kagoma ni mchezaji mzuri sana lakini Simba isimtegemee sana kwa sababu pancha nyingi sana

3. Kocha wetu anatuudhi sana kwa sub zake, Yanga wanajivunia sana viungo wao na sub wana watu lkn sisi sub zetu ni Balua na Okajepha

4. Kama Ateba angekuwa anacheza na Elie Mpanzu huku Kibbu Dennis prmbeni wale węhu wangetafutana leo

5 Kibbu Dennis ni mchezaji wa quality ya juu mno lakini kocha anamchukulia poa na kumfanyia sub wakati ambao tunahitaji matokeo

6 Hakuna cha maana alichokifanya Jean Charles Ahoua leo zaidi ya kumpa wakati mgumu Ateba
7 Chamou, Okajepha, Mutale, Ngoma watupishe dirisha dogo

8. Camara kafungwa goli la babu, mm simlaumu, Chama aliingia muda ule kwa maelekezo ya washirikina na ndio maana baada ya hapo hakuonekana tena

9 Mechi na Prisons ndio inakwenda kumharibia kibarua Fahdu kwa ubishi na kutoshaurika

10 Leo kazi imefanyika sana nje ya uwanja sina wa kumlaumu, mapambano yaendelee
 
Simba hakucheza vibaya kinacho waangusha ni Quality ya wachezaji.

Ukiacha Debora na Che Malone wengine wote viwango vyao ni vya wastani kwaiyo presha ikizidi lazima watafanya makosa.

Kipindi Cha pili wamefanya makosa mengi ila walikua na bahati tu.
 
Endeleeni kuamini ushirikina,,

Mtashtuka mkipigwa mechi 10 mfululizo,,

Mzize , Chama, Musonda, Mwamnyeto, Abuya wote walianzia benchi na wote ni wachezaj wa timu za Taifa.

Timu gani nyingine imewah weka benchi wachezaj watano wa timu za Taifa?
 
Wewe utakuwa ccm tu wewe. Yaani toka mwisho wa insha yako umeongea mapungufu ya Simba weeeeeeeeee alafu una conclude kuwa Yanga kashinda sababu ya mipango ya nje ya uwanja! Sasa kwa ubovu huo wa sub na kocha jinsi ulivyosema ulitakaje?

Nyie ndio ccm wa mtu anachangia hoja kwa kuipinga weeeeeeeee kisha anamalizia kuwa muheshimiwa spika naunga mkono hoja
 
KIBU unayemwongelea ni yupi? Labda kama kuna mwingine siyo huyu anayetukwamisha...

Simba itakuja kuamka kuwa sawa kama tukipata mbadala wa Mutale na Kibu ambao watakuwa wakiunganika vizuri na Ahoua...

Next time tukiwa na type ya Mutale na Kibu tutapigwa mechi ya 5 mfululizo...
 
6, 7 na 8 nakukatalia. Ubahili wa Simba kuchukua kocha wa Bei rahisi ndio tatizo.
Kama tulisema tunajenga timu kina Chasambi kwanini wanakaa benchi wdkati Wana uwezo mzuri.
Umakini mdogo wa wachezaji umechangia pakubwa mpira ulivyokuwa unaelekea mwisho makosa mengi yalifanyika Shabalala katoa Boko kibao na mchezo wa Simba kupasiana golini pia ni tatizo.
 
1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili
2. Yussuf Kagoma ni mchezaji mzuri sana lakini Simba isimtegemee sana kwa sababu pancha nyingi sana
3. Kocha wetu anatuudhi sana kwa sub zake, Yanga wanajivunia sana viungo wao na sub wana watu lkn sisi sub zetu ni Balua na Okajepha
4. Kama Ateba angekuwa anacheza na Elie Mpanzu huku Kibbu Dennis prmbeni wale węhu wangetafutana leo
5 Kibbu Dennis ni mchezaji wa quality ya juu mno lakini kocha anamchukulia poa na kumfanyia sub wakati ambao tunahitaji matokeo
6 Hakuna cha maana alichokifanya Jean Charles Ahoua leo zaidi ya kumpa wakati mgumu Ateba
7 Chamou, Okajepha, Mutale, Ngoma watupishe dirisha dogo
8. Camara kafungwa goli la babu, mm simlaumu, Chama aliingia muda ule kwa maelekezo ya washirikina na ndio maana baada ya hapo hakuonekana tena
9 Mechi na Prisons ndio inakwenda kumharibia kibarua Fahdu kwa ubishi na kutoshaurika
10 Leo kazi imefanyika sana nje ya uwanja sina wa kumlaumu, mapambano yaendelee
Kocha yupo saana, na ni kocha Mzuri
 
Back
Top Bottom