Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

5.Nakugomea hapa,Kibu Denis ni mchezaji wa hovyo sana,ukijumlisha na Mutale na Balua,watu wanakimbia hovyo tu,pa kutoa pasi anakimbia akapoteze,pa kukimbia anatoa pasi,mediocre players kama Kibu,Balua ndo wanatucost.

Mchezaji mzuri ana takwimu nzuri za assist na magoal,sasa mtu msimu mzima ana goal 1 naye anaonekana mzuri au kwa sababu anakimbia hovyo?

Angalia takwimu ndo zinaonyesha nani ni mzuri,huwezi unakimbia hovyo hovyo,unagonganagongana na watu af uitwe mchezaji wa daraja la juu,tulikuwa na Emmanuel Okwi anatokea pembeni lkn msimu ukiisha Yuko kwenye 3 Bora za wafungaji wa msimu na assist kibao
 
5.Nakugomea hapa,Kibu Denis ni mchezaji wa hovyo sana,ukijumlisha na Mutale na Balua,watu wanakimbia hovyo tu,pa kutoa pasi anakimbia akapoteze,pa kukimbia anatoa pasi,mediocre players kama Kibu,Balua ndo wanatucost.

Mchezaji mzuri ana takwimu nzuri za assist na magoal,sasa mtu msimu mzima ana goal 1 naye anaonekana mzuri au kwa sababu anakimbia hovyo?

Angalia takwimu ndo zinaonyesha nani ni mzuri,huwezi unakimbia hovyo hovyo,unagonganagongana na watu af uitwe mchezaji wa daraja la juu,tulikuwa na Emmanuel Okwi anatokea pembeni lkn msimu ukiisha Yuko kwenye 3 Bora za wafungaji wa msimu na assist kibao,
 
No.8 ungeiweka mwanzo Hakuna ambaye angehangaika na huu uharo wako.
 
8. Camara kafungwa goli la babu, mm simlaumu, Chama aliingia muda ule kwa maelekezo ya washirikina na ndio maana baada ya hapo hakuonekana tena
Critical thinking imekuwa shida sana humu jamvini siku hizi.
 
Watu anao lkn hataki kuwatumia ,mbadala wa Mutale ni Chasambi,mbadala wa Kibu ni Balua/kalabaka,mbadala wa Ahoua ni Awesu haya yote hakufanya Kwa usahihi,kingine kilichoigharimu nikutotumia nafasi walizopata.
NB
Wkt timu zinatoka vyumbani kujawasalimia mashabiki walianza toka wa yanga,mle uwanjani walikua wanamwaga uchawi kuanzia pakuingiliauwanjani mpk katikati ya uwanja na ndio upande waliojifunga simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…