Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Siyo maini bhana.Kuna kitu ulitaka kumaanisha...😆🤣Nyieee Simba ni tamu kama maini...uwiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo maini bhana.Kuna kitu ulitaka kumaanisha...😆🤣Nyieee Simba ni tamu kama maini...uwiii
😄😄 Kama unaisema Yanga vile....Timu gani ilishawahi fungwa bao 6 club bingwa?
kocha ananipa wasiwasi sana, mukwala yupo alafu unaingiza mashaka how??? yaani huyo mtoto ndio akasumbue beki za kiarabu??? we can't be serious. mashaka over mukwala??? huyu kocha akiendelea na huu upuuzi hafiki mbali, simba sio ya majaribio hayo babu1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana.
2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu ni wa kucheza ligi kuu, kombe la Mapinduzi na kombe la Azam lakini sio kombe Shirikisho, Mashaka na Balua ni mojawapo.
3. Wale waarabu wala sio wa kuiihami, Kibu Dennis alipoingia ndio ameichangamsha sana timu
4. Kipa wa Simba ni 100 kwa 100
5. Upangaji wa timu leo haukuwa mzuri kabisa, viungo Joshua na Balua kama ndio anawategemea Basi ajiandae kufukuzwa
6. Kama tungecheza na timu zenye uwezo mzuri leo tungekula hata bao 6 pale tripoli
7. Jean Charles Ahoua kwa uchezaji ule hatuwezi kutoboa kabisa kabisa
8. Ateba ni striker mzuri mno ila kwa viungo hawa akina Mutale sasa hv tutalalamika
9 Yaani Mukwala akae benchi halafu Mashaka aingie, we kocha mbona unanitia mashaka namna hii.Mashaka hata hajui alikuwa anafanya nini
10. Che Malone Fondoh kama anajiamini kwa namna ile basi kuna cku tutakuja kulia.
Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
Huyu sinichiNyieee Simba ni tamu kama maini...uwiii
Sasa utalinganisha mchezo wa simba na ule upuuzi uliochezwa jana kati ya Yanga na CBE( Timu ya chuo🤣🤣)1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana.
2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu ni wa kucheza ligi kuu, kombe la Mapinduzi na kombe la Azam lakini sio kombe Shirikisho, Mashaka na Balua ni mojawapo.
3. Wale waarabu wala sio wa kuiihami, Kibu Dennis alipoingia ndio ameichangamsha sana timu
4. Kipa wa Simba ni 100 kwa 100
5. Upangaji wa timu leo haukuwa mzuri kabisa, viungo Joshua na Balua kama ndio anawategemea Basi ajiandae kufukuzwa
6. Kama tungecheza na timu zenye uwezo mzuri leo tungekula hata bao 6 pale tripoli
7. Jean Charles Ahoua kwa uchezaji ule hatuwezi kutoboa kabisa kabisa
8. Ateba ni striker mzuri mno ila kwa viungo hawa akina Mutale sasa hv tutalalamika
9 Yaani Mukwala akae benchi halafu Mashaka aingie, we kocha mbona unanitia mashaka namna hii.Mashaka hata hajui alikuwa anafanya nini
10. Che Malone Fondoh kama anajiamini kwa namna ile basi kuna cku tutakuja kulia.
Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
Hauna jema. Kwahiyo Ahly Tripoli wao walijiandaa kufungwa siyo?1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana.
2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu ni wa kucheza ligi kuu, kombe la Mapinduzi na kombe la Azam lakini sio kombe Shirikisho, Mashaka na Balua ni mojawapo.
3. Wale waarabu wala sio wa kuiihami, Kibu Dennis alipoingia ndio ameichangamsha sana timu
4. Kipa wa Simba ni 100 kwa 100
5. Upangaji wa timu leo haukuwa mzuri kabisa, viungo Joshua na Balua kama ndio anawategemea Basi ajiandae kufukuzwa
6. Kama tungecheza na timu zenye uwezo mzuri leo tungekula hata bao 6 pale tripoli
7. Jean Charles Ahoua kwa uchezaji ule hatuwezi kutoboa kabisa kabisa
8. Ateba ni striker mzuri mno ila kwa viungo hawa akina Mutale sasa hv tutalalamika
9 Yaani Mukwala akae benchi halafu Mashaka aingie, we kocha mbona unanitia mashaka namna hii.Mashaka hata hajui alikuwa anafanya nini
10. Che Malone Fondoh kama anajiamini kwa namna ile basi kuna cku tutakuja kulia.
Soma Pia: FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024
Na wahasibu wa CBE au sio? Au na wale warundi?Bora mpo shirikisho....mngekuwa club bingwa mngekula 6G .... club bingwa is not for everyone [emoji23][emoji23]
Na ungekufa moja kwa moja. Punguza mapenzi ya namna hiyo kwenye mpira. Utaumia siku 1 mkuu.Ile iliyogonga chuma dakika ya mwisho!
Kidogo tu nipoteze nguvu zangu za kiume.
1. Fernandez alichoka, mipira mingi ilifia kwake. Kifupi tank la Deborah linawahi kuisha.Kuna vitu hata kama mimi sina taaluma ya ukocha naona fadlu anatutafuta lawama bila sababu, na ipo siku ao wachezaji wake anaowaamini wanatatugombanisha na yeye......
Mfano;
1. Kwanini huwa kila mechi anamtoa Fernández? Na kila Fernández akitoka mpira unaharibika.?
2. Kwanini Mashaka awe bora over Mukwala????
3. Kwanini Kibu awe bora kuliko Aweso Aweso????
Tafadhali wewe Gongowazi tuachie Simba Yetu ituue1. Fernandez alichoka, mipira mingi ilifia kwake. Kifupi tank la Deborah linawahi kuisha.
2. Kwa namna Tripoli alivyokuwa anacheza, Kibu alikuwa chaguo sahihi over Awesu
3. Tatizo naliona kwa Mashaka, first touch mbovu, hana mikimbio mizuri, hapo sijajua mwalimu aliona nini over Mukwala
Hahahahaha presha zilikuwa juu kakaIle iliyogonga chuma dakika ya mwisho!
Kidogo tu nipoteze nguvu zangu za kiume.
Utopolo tangu kuwape code mmekuwa na mdomo sana. Your days are numbered, misimu miwili hao wachezaji wote watakuwa hoiBora mpo shirikisho....mngekuwa club bingwa mngekula 6G .... club bingwa is not for everyone [emoji23][emoji23]