Mambo 10 niliyoyaona leo Simba vs Al Ahly Tripoli

kocha ananipa wasiwasi sana, mukwala yupo alafu unaingiza mashaka how??? yaani huyo mtoto ndio akasumbue beki za kiarabu??? we can't be serious. mashaka over mukwala??? huyu kocha akiendelea na huu upuuzi hafiki mbali, simba sio ya majaribio hayo babu
 
Jaribu kua una summarize vizuri, hapo hakuna mambo kumi kunajambo moja tu umemaanisha.

Kocha na wachezaji hawafai Si ndio?
 
Kuna vitu hata kama mimi sina taaluma ya ukocha naona fadlu anatutafuta lawama bila sababu, na ipo siku ao wachezaji wake anaowaamini wanatatugombanisha na yeye......
Mfano;
1. Kwanini huwa kila mechi anamtoa Fernández? Na kila Fernández akitoka mpira unaharibika.?
2. Kwanini Mashaka awe bora over Mukwala????
3. Kwanini Kibu awe bora kuliko Aweso Aweso????
 
Sasa utalinganisha mchezo wa simba na ule upuuzi uliochezwa jana kati ya Yanga na CBE( Timu ya chuo🤣🤣)
 
Hauna jema. Kwahiyo Ahly Tripoli wao walijiandaa kufungwa siyo?

Zile ni mbinu tu za mchezo tena ugenini ukizingatia wapo kwao na figisu za Kiafrika humo humo.

Simba amecheza vizuri sana naamini mechi ya pili anaibuka na ushindi mnono.
 
Umenena vyema mkuu,,
Kuna wachezaji wa ligi na wachezaji wa CAF) shirikisho,
Bakua
Chasambi
Karabaka
Na genge lao wote ni wa ligi kuu.

Simba ilifanya kosa kubwa sn kuwaacha wachezaji 80% ya timu ya msimu uliopita.
 
1. Fernandez alichoka, mipira mingi ilifia kwake. Kifupi tank la Deborah linawahi kuisha.
2. Kwa namna Tripoli alivyokuwa anacheza, Kibu alikuwa chaguo sahihi over Awesu
3. Tatizo naliona kwa Mashaka, first touch mbovu, hana mikimbio mizuri, hapo sijajua mwalimu aliona nini over Mukwala
 
Wachezaji wengi waliingizwa na kucheza ili wacheze mfumo wa kulinda sana ugenini wa kocha na sio mfumo wako wa kushambulia mkipishana na wale wakina Mahanzi mngefungwa bora mlivyojaa kati na kuharibu mipira yao makocha wanaona vitu kiufundi sana kuliko washabiki wanataka Timu ipande wakati huo uwezo hamna..
 
Tafadhali wewe Gongowazi tuachie Simba Yetu ituue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…